Daby JF-Expert Member Joined Oct 26, 2014 Posts 34,961 Reaction score 80,240 Feb 13, 2015 #61 Kabla ya kushauriwa me naona umeingilia uzi wa jamaa kwanini usingeanzisha wako watu wengi wangeusoma na wangeuona wengi tofauti na ulivyouweka hapa tafadhali fanya mpango uhamishe uwe uzi mpya unaojitegemea.
Kabla ya kushauriwa me naona umeingilia uzi wa jamaa kwanini usingeanzisha wako watu wengi wangeusoma na wangeuona wengi tofauti na ulivyouweka hapa tafadhali fanya mpango uhamishe uwe uzi mpya unaojitegemea.
shalet JF-Expert Member Joined Feb 12, 2013 Posts 3,441 Reaction score 3,613 Feb 13, 2015 #62 inawezeka wiseboy ndio i love miss chaga hapa anaendeleza kampeni.