Kuna wanaochekeshwa na Pilipili comedy show?

Angalau hawa washkaj wa Kenya kama YY, Samikioko,Pasta Kuria, Mc trick,Jasper Mulume,Prof hamo Nasra,Teacher wanjiku, Benard nawengine kibao.ila sio hao akina pilipili
 
Boya tu huyo , we jitu linalopiga magoti na kumlilia mwanamke unafikiri kuna mtu hapo ? Au bichwa lililojaa maji ?
 
teacher mpamire, YY, anko zumo, braza K na photogenic mtoto hao ndio wachekeshaj wengine naona ni kuforce tu
 
He lacks everthing in comedy....anabahati tu bongo hii industry bado changa ndo mana akapata jina. Stand up comedy bongo bado sana
 
Hata kama hatuchekeshi lakini ukweli usemwe alikua ni Mwl Wa Secondary sio shule ya msingi.
Halafu kikubwa zaidi sisi walimu Wa shule ya msingi sio kama tulifeli hapana Noo ni marks tu hazikutosha ndo maana tukapewa majukumu mengine.
Ahsante.
Nimekumbuka ule usemi wa "Kombi zimegoma"
 
Huyu jamaa sijawahi kumuelewa kabisa.. alikuja Chuga na kina Omond nilikuwa nataman amalize asepe
 

Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom