Kuna wana maombi humu?

Kuna wana maombi humu?

Jamani nimetoka kazini nipo hoi, nilikuwa busy sana leo. Sikupata hata nukta ya kupumzika. Nimefika home wife kaniudhi sana. Yaani nina hasira mpaka nimeshindwa kulala. Usingizi wote umeondoka. Sasa nimegundua mwenzangu anapenda ugomvi sana, nimefika mahali nimechoka sana naona siku si nyingi ntafanya kitu cha kuishangaza dunia. Naomba mniombee ili niwe na moyo wa uvumilivu, niepukane na mwovu shetani. Kila siku narudi home nimechoka lakini sipati hata nafasi ya kupumzika, nakuta maudhi ya ajabu.


Chonde mshikaji usije kuacha haibu ya kina Ufoo. Jifunze na matukio na kuombewa, utaombewa na wale wanaokujali humu JF, hivyo usiwe na hofu.
 
We ulidhani wanaokuwa na nyumba ndogo wanapenda? Pressure absorbers... Ila sijakushauri...



Tena nilisahau tu, nakushauri utafute nyumba ndogo ua kukuliwaza. usikute wife anakuigia kelele because anaona upo nyumbani all the time baada ya kazi wakati wanaume wenzako wote wanakwenda nyumba ndogo ama baa hivyo anataka ujitafutie nyumba ndogo ili naye apate kaserengeti boy ajiliwaze naye. Tafuta nyumba ndogo uone atafanya nini.
 
Mh. Haya. Hayo maombu ya mmu yatavuka paa? Lambda ya ma dei waka wazee was report abuse jukwaa LA siasa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom