Kuna Wakuu wa Mikoa na kuna Amos Makalla. Rais Samia anapaswa kujiuliza mambo mengi

S
Usijifanye kukwepesha mambo, sisi wote ni wana JF tunaofatilia kila kinachoandikwa humu jukwaani. Kamwe hauwezi kufananisha thread za Jinga lao na za kina Erythroctye, Mmawia nk. Hawa jamaa laiti kama wakiambiwa wachague mungu wa dunia hii basi mungu wao wa kwanza atakuwa Mbowe na mtume au nabii wao atakuwa Lisu. Jamaa siasa zimewafanya washindwe kujishughulisha na mambo mengine ya msingi, kutwa ni kuandika habari za Mbowe, Lisu Chadema nk utafikiri wao ndio wanalala, wanakula na kutembea na viongozi hao. Kusifu kwa Amos Makala ni mara moja moja anapopewa nafasi ya kuongea mbele ya raisi, ila sifa anazotoa hazimuondolei uhalali wa kusimamia sheria na maendeleo ya mkoa wake. Ila hawa chawa wa Mbowe sometimes sifa wanazompa mwenyekiti wao mpaka zinatia aibu. Huku ni sawa na kumuabudu binadamu mwenzako kwa sababu ya pesa zake nk, ni aibu kubwa kwa vijana kukubali kuuza utu wao kwa sababu ya njaa zao.

View attachment 2163647
SII kisa lako ni madhara ya jina baya🤔
 
S

SII kisa lako ni madhara ya jina baya🤔
Siku Mbowe atakapokutoa katika usukule na kukurudisha katika akili zako za kawaida, ndo utagundua ni jinsi gani siasa za kushikiwa akili na Mbowe zilivyoathiri maisha yako na fikra zako.

Kwa sasa hauwezi kujua hilo maana akili na fikra zako zimefungiwa katika mfuko wa mwenyekiti ambae hakati kuona unawaza nje ya kile anachokitaka yeye. Pole sana kijana.
 
Sasa umeandika nini? Si unzishe tu kabustani kambogamboga uhani kwa shemeji yako hapo unapoishi angalau ikukeep busy?
Hauwezi kujua niliachoandika mpaka siku akili yako itakapokuwa huru. Kwa sasa ww endelea tu kuuza utu wako kwa sababu ya njaa zako.
 
Siku Mbowe atakapokutoa katika usukule na kukurudisha katika akili zako za kawaida, ndo utagundua ni jinsi gani siasa za kushikiwa akili na Mbowe zilivyoathiri maisha yako na fikra zako. Kwa sasa hauwezi kujua hilo maana akili na fikra zako zimefungiwa katika mfuko wa mwenyekiti ambae hakati kuona unawaza nje ya kile anachokitaka yeye. Pole sana kijana.
Ni mtazamo wako Dudumizi,hongera,kuimba mapambio ya sifa kumerudisha Ile posho yenu iliyopigwa nyundo wakati ule ongeza juhudi usiondoshwe kwenye orodha,kwani njaa ni Kali hatari🤔
 
Si nilishakuonya usikoment humu huku unaqunyer? Maliza kukata gogo kwanza. Wewe unaona vizuri kucomment huku umekakamaa?

Kammoon!
Kushikiwa akili na kiongozi alieishia darasa la nne inataka moyo sana. Matokeo yake unakuwa kama mbumbumbu fulani.

Kwamba hauwezi kufanya maamuzi yoyote mpaka pale anapokuruhusu yeye kuamua kile anachotaka.

So sikulaumu ww bali wa kulaumiwa ni yule anae conrol kichwa chako.
 
Ni mtazamo wako Dudumizi,hongera,kuimba mapambio ya sifa kumerudisha Ile posho yenu iliyopigwa nyundo wakati ule ongeza juhudi usiondoshwe kwenye orodha,kwani njaa ni Kali hatari🤔
Kama unafikiri mwenyekiti bado anawalipa watu wanaompigania mitandaoni, basi sahau ndugu yangu. Jamaa sasa hivi ana uchungu wa pesa, halipi tena mtu kama unavyoona pichani.

images (23).jpeg
 
Usijifanye kukwepesha mambo, sisi wote ni wana JF tunaofatilia kila kinachoandikwa humu jukwaani. Kamwe hauwezi kufananisha thread za Jinga lao na za kina Erythroctye, Mmawia nk. Hawa jamaa laiti kama wakiambiwa wachague mungu wa dunia hii basi mungu wao wa kwanza atakuwa Mbowe na mtume au nabii wao atakuwa Lisu. Jamaa siasa zimewafanya washindwe kujishughulisha na mambo mengine ya msingi, kutwa ni kuandika habari za Mbowe, Lisu Chadema nk utafikiri wao ndio wanalala, wanakula na kutembea na viongozi hao. Kusifu kwa Amos Makala ni mara moja moja anapopewa nafasi ya kuongea mbele ya raisi, ila sifa anazotoa hazimuondolei uhalali wa kusimamia sheria na maendeleo ya mkoa wake. Ila hawa chawa wa Mbowe sometimes sifa wanazompa mwenyekiti wao mpaka zinatia aibu. Huku ni sawa na kumuabudu binadamu mwenzako kwa sababu ya pesa zake nk, ni aibu kubwa kwa vijana kukubali kuuza utu wao kwa sababu ya njaa zao.

View attachment 2163647

wewe kama unakereka na akina Mmawia, kuna wengine wanakereka na kina jinga lao,USSR na wengineo.....unazunguka mbuyu,rafiki yako Makalla alitakiwa abaki huko huko alipokuwa, hivi hata huoni aibu ukimsikiliza?
 
Kwa Taarifa yako hakuna Mkuu wa Mkoa Smart kama Makalla.
Ni Mtu wa watu na anajua kuongoza siyo kutawala.
Ulizia Watumishi wa Mkoa wa DSM watakueleza wanavyomkubali huyu jamaa ni mtu aliyetulia sana hakurupuki.
Makala ameweza kuwapanga Wamachinga bila fujo yoyote kwasababu ya kutumia akili bila Nguvu.
Pia Makalla ameweza kutembea Majimbo yote DSM na kusikiliza kero na kuzitatua hadi usiku mnene bila kudhalilisha mtu yeyote.
To me he is a true Leader of all the times.
Kuhusu kumsifia Mama wewe unataka afanyaje wakati ndiye aliyemteua na ni Mwenyekiti wake wa Chama na Rais wake unataka amponde?Nonsense.
Naona Makala umekuja kujipambania mwenyewe
 
Utashangaa tu kama umezaliwa baada ya march 2021.Hizi bado hazijafika robo ya sifa tulizokuwa tumezoea

Kwa sisi tuliokuwapo kabla ya Tarehe hizo tunakumbuka namna mfalme wa wakati huo alivyokuwa anapenda sifa kufikia viwango vya kukufuru.

Aliitwa Yesu, akachekelea.

Mungu akatakiwa amshukuru kwa jinsi anavyochapa kazi, yani Mungu amshukuru mwanadamu.

Na yeye mwenyewe akajifanyia proposal ya kuwa mkuu wa malaika.
 
Siku Mbowe atakapokutoa katika usukule na kukurudisha katika akili zako za kawaida, ndo utagundua ni jinsi gani siasa za kushikiwa akili na Mbowe zilivyoathiri maisha yako na fikra zako. Kwa sasa hauwezi kujua hilo maana akili na fikra zako zimefungiwa katika mfuko wa mwenyekiti ambae hakati kuona unawaza nje ya kile anachokitaka yeye. Pole sana kijana.
Yani unaendelea tu kucomment huku unaqunyer? Wewe ni binadam wa haina gani husikii? Sasa ngoja nikutafute nikuzabe mfululizo wa makofi ya hatariii.

Sipendi upuuz mimi.

Kammoon!
 
Nyakati za Jk pia watu waliteuliwa hatukuuona huu Ujinga alituachia Jiwe
Mmhhh wakati wa JK kulikuwa na ujinga wa viongozi kupenda kuitwa Docta fuluni...hata huyo JK alipenda kuitwa kwa jina la DR Kikwete wakati hana PhD wala sio medical or veterinary doctor, ana degree ya philosophy ya heshima (Honoria causa) ambayo ki msingi huwa haitakiwi kutumika kama Prefix ya jina la mtu!

kama iliyo Doctorate ya Philosophy
 
Nyakati za mkwere na Mkapa hatukuwa na huu UPUMBAVU
japo watu waliteuliwa

JPM alileta siasa za huo mtindo,,, as long as yeye kasifiwa, basi aliyesifia atapata teuzi... haijalishi kadhalilisha wangapi, muhimu ni President kasifiwa..

Wazee la Legasi wanafahamu zaidi
 
wewe kama unakereka na akina Mmawia, kuna wengine wanakereka na kina jinga lao,USSR na wengineo.....unazunguka mbuyu,rafiki yako Makalla alitakiwa abaki huko huko alipokuwa, hivi hata huoni aibu ukimsikiliza?
Leo Erythroctye kaja na uzi wa Mbowe na wenzake washinda kesi katika mahakama ya EACJ. Hao wengine kwa vile hawana cha kumlipa wala hakuona sababu ya kuandika majina yao, ila la mlipaji wake limeandikwa kwenye headline ya uzi wake. Yani kupambania tumbo kwa aina hii sio jambo la mchezo, siku mwenyekiti akiacha siasa kuna watu watateseka sana mtaani, maana hawajajiandaa kutafuta ajira zingine. Wengi wanaishi kupitia mfuko wa mwenyekiti na ndio maana hakuna habari zingine zinazoandikwa tofauti na zile za kumsifu na kumtukuza mwenyekiti. Siasa za Tanzania kila mtu anapigania tumbo lake na familia yake.
 
Msamehe tu bure. Kazi za kuteuliwa ndivyo zilivyo mara zote.

Lazima ujinyenyekeze, umpambe na umpe umungu mtu yule aliye kuteua, na hivyo siku zisonge mbele.
Si mikutano ya wateule tu, hata ya rais, muda mwingi unatumiwa na wasaidizi kumpamba wanapopewa muda kuongeza. Ukiwa na la mama kuangalia au kusikiiza hotuba hizo ni kupoteza muda.
 
Back
Top Bottom