Kuna Wakuu wa Mikoa na kuna Amos Makalla. Rais Samia anapaswa kujiuliza mambo mengi

Rais anapoteua wasaidizi, hateui wawe kazi yao kumsifia na kumpamba kupitiliza. Bali huwateua kwa lengo la kumsaidia kazi na kuleta maendeleo.

Amos Makalla kwa muda mrefu amekuwa akitumia nguvu na sifa kwa Rais na pengine hata Rais mwenyewe hafurahishwi na hilo Ila tu hawezi kusema. Ili Rais afanye vizuri zaidi anapaswa kuelezwa zaidi changamoto kuliko sifa.
Huyo jama kiukweli alitakiwa kupimwa urine
 
Jiwe alikuwa fashisti ndiyo maana watanzania wengi hawampemdi.

Ila ondoa masikini na wanyonge
Hivi ulichokiandika mwenyewe unakielewa. Hivi ulifanyia utafiti wapi ukapata majibu kuwa watanzania wengi hawampendi Hayati Magufuli? Kama unajua kuwa masikini na wanyonge wanampenda; Je kati ya kundi la ninyi matajiri na kundi la masikini na wanyonge wepi ni wengi?
 
Amos makala ni mjinga anayeamini bila siasa hawezi kuishi. Hii yote ni chuki kwa hayati Magufuli kwa kumnyang'anya ukuu wa mkoa na kukata jina lake kwwnye ubunge.
 
Back
Top Bottom