Waziri Hamza: Serikali Ijenge Daraja Kuunganisha Dar-Zanzibar

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
45,536
52,597
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais (Sera,Uratibu,Baraza la Wawakilishi) Hamza Hassan amemuomba Rais Samia ajenge daraja kubwa la Kuunganisha Tanzania na Zanzibar.

View: https://www.instagram.com/reel/C6BwTtyPseE/?igsh=eXltejhqNXhuc2w=

My Take
Naunga mkono hoja,Pamoja na mazuri mengi sana ya Samia ila Daraja akijenga Daraja hili na Bandari ya Bagamoyo itakuwa ni alama kubwa ambayo ataiacha Kwa kipindi Cha Uongozi wake wa miaka 9.5.

Inawezekana Akiamua kama ambavyo Magufuli aliamua na Sasa Miradi yake Mingi Serikali iwahusishe Private sector kupata pesa.
Screenshot_20240422-130333.jpg
Screenshot_20240422-130435.jpg
 
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais (Sera,Uratibu,Baraza la Wawakilishi) Hamza Hassan amemuomba Rais Samia ajenge daraja kubwa la Kuunganisha Tanzania na Zanzibar.

View: https://www.instagram.com/reel/C6BwTtyPseE/?igsh=eXltejhqNXhuc2w=

My Take
Naunga mkono hoja,Pamoja na mazuri mengi sana ya Samia ila Daraja akijenga Daraja hili na Bandari ya Bagamoyo itakuwa ni alama kubwa ambayo ataiacha Kwa kipindi Cha Uongozi wake wa miaka 9.5.

Inawezekana Akiamua kama ambavyo Magufuli aliamua na Sasa Miradi yake Mingi imeishia.

Gharama nani atalipa ?.
 
Kama akifanikiwa Kujenga hilo daraja Hata Akitawala Milele Mimi Sina Shida..

Atakuwa ameacha Legacy kubwa sana ambayo Nchi hii haina cha kumlipa hata ikitaka..
 
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais (Sera,Uratibu,Baraza la Wawakilishi) Hamza Hassan amemuomba Rais Samia ajenge daraja kubwa la Kuunganisha Tanzania na Zanzibar.

View: https://www.instagram.com/reel/C6BwTtyPseE/?igsh=eXltejhqNXhuc2w=

My Take
Naunga mkono hoja,Pamoja na mazuri mengi sana ya Samia ila Daraja akijenga Daraja hili na Bandari ya Bagamoyo itakuwa ni alama kubwa ambayo ataiacha Kwa kipindi Cha Uongozi wake wa miaka 9.5.

Inawezekana Akiamua kama ambavyo Magufuli aliamua na Sasa Miradi yake Mingi imeishia.

Watu wa Zanzibar hawana maji ya kunywa, huyo kiongozi aache ujinga!
 
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais (Sera,Uratibu,Baraza la Wawakilishi) Hamza Hassan amemuomba Rais Samia ajenge daraja kubwa la Kuunganisha Tanzania na Zanzibar.

View: https://www.instagram.com/reel/C6BwTtyPseE/?igsh=eXltejhqNXhuc2w=

My Take
Naunga mkono hoja,Pamoja na mazuri mengi sana ya Samia ila Daraja akijenga Daraja hili na Bandari ya Bagamoyo itakuwa ni alama kubwa ambayo ataiacha Kwa kipindi Cha Uongozi wake wa miaka 9.5.

Inawezekana Akiamua kama ambavyo Magufuli aliamua na Sasa Miradi yake Mingi imeishia.

Wapemba wanapenda mteremko sana.
 
serikali inazo zaidi ya sh. trillion 70.. kujenga hilo daraja?
na hizo pesa watazipata wapi?
Wanatakiwa ku engage private sector ambao watakuwa ndio waendeshaji.

Alishindwa hili ni Bora kumbe ajenge la kuvuka Lake Tanganyika hazi Zanzibar, gharama ni chini ya Trilioni 30.
 
Mimi naona sio kipaumbele kabisa, kwani kuna nini cha kutugharimu kiasi hicho, Zanzibar ya watu milioni moja! Kuna mikoa ina watu 3m lakini haijaunganishwa kwa barabara za lami na mikoa mingine.
Daraja Hilo litakuwa kivutio Cha Utalii na maelfu ya Watalii watapenda kusafiri kati ya Dar na Zanzibar Kwa njia ya Barabara kuliko hata ndege.
 
Huko Ulaya, America na Asia kuna madaraja mengi na mazuri sana na huwa hawa watu hawaji kuvutiwa na miundombinu bali mambo ya asili.
Lipo daraja refu la China linavutia mamilioni ya watu,achilia mbali huyo tufupi.La China linafika km 109 linaendelea na ujenzi.
 
Wanatakiwa ku engage private sector ambao watakuwa ndio waendeshaji.

Alishindwa hili ni Bora kumbe ajenge la kuvuka Lake Tanganyika hazi Zanzibar, gharama ni chini ya Trilioni 30.
mkuu mfano una milion 10 na unahitaji gari na bado unaumwa ugonjwa wa figo.
kipi utaanza nacho kama kipaumbele chako?
 
Back
Top Bottom