Rich Woman
JF-Expert Member
- Dec 18, 2012
- 867
- 558
manoah unaitwa na mahbuba.
ndiyo mimi peke yangu..Labda na wewe ukae chini ujitathmini halafu unipie jibu..Wewe peke yako...
ni kipi chajuchosha sasa? kudanganya au kusamehewa?
kudanganya....
kudanganya....
basi katubu na usirudie tena kudanganya...
read my signature
Asalaam aleykum ustaadhi Jiwe Linaloishi.
Huwa nakosea katika maisha yangu siku hadi siku..
Katika kauli zangu kuna uongo
nimeleta aibu machoni pako
nisamehe Mungu mwenye rehema
Hata na hizi pesa nilizonazo ila kuna nyakati nachoka
kuna nyakati nashindwa
Mimi ni mtu tu...
dah.... hatimae leo umesikileza gospel... ila tatizo mungu hana account huku JF... Ungeenda church bhana..
Pesa haiwezi kukupa amani yako yote shosti yapo mengi ambayo unahitaji nje ya mafurushi yako ya noti. Bishanga je niko sawa?
haya basi na uache kudanganya ili uwe na amani...
Huwa nakosea katika maisha yangu siku hadi siku..
Katika kauli zangu kuna uongo
nimeleta aibu machoni pako
nisamehe Mungu mwenye rehema
Hata na hizi pesa nilizonazo ila kuna nyakati nachoka
kuna nyakati nashindwa
Mimi ni mtu tu...