Kuna wakati JF ilikuwa runned na vijana wa 35+ na 40s ila nyakati zimebadirika, vijana graduates na 20s ndio wanakimbiza usukani na maajabu ni mengi

Financial Analyst

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2017
Posts
1,936
Reaction score
3,940
Nyuzi sensible unakutana na comments za kumshushua jamaa kuwa anajifanya genius 🤣🤣

Ila zile nyingine sasa, hadi yanaundwa magroup ndani comments kuendeleza umbea.

Anyway kila kitu kina wakati wake, maisha yaendeleee
 
🤣🤣🤣ila JF bwana unaweza kuta alieandika uzi wa kuwa ametengeneza Gym nyumbani kwake
389ad7a38291379eb4f908036368b25e (3).jpg
 
Kweli kabisa mkuu,sijui tukimbilie wapi sisi wazee.
Alafu vijana wabishi sanaa
 
1. Utasikia walosoma wamesaidia Nini taifa
2. Hao wenye elimu wameajiriwa na 7 C
3. Kobazi hawana akili
4. Kataa ndoa
5. GPA kubwa sio Dili
6. Bila marekani kobazi wangetuua wote sisi MAKAFIRI
7. Israel taifa teule
8. Wafukua MITARO
9. Ana chura huyo demu
10. Nimetoka kula mke wa mtu, au natoka na mke wa mtu
11. Urusi kubwa jinga
12. Israel inaongozi Kwa wasomi na wamegundua teknolojia zote Dunia, karibu wanasayansi wote ni wahayudi na matajiri wote ni wahayudi

HZO NDO KOMENTI KUU KWENYE MADA KARIBIA ZOTE JF NOWADAYS
 
Nyuzi sensible unakutana na comments za kumshushua jamaa kuwa anajifanya genius 🤣🤣

Ila zile nyingine sasa, hadi yanaundwa magroup ndani comments kuendeleza umbea.

Anyway kila kitu kina wakati wake, maisha yaendeleee
Wanakimbizaje wakati uwezo wao wa kufikiri umefubazwa na AI. Kama huamini muulize kijana graduate wa age ya 20+ chochote cha maisha uone anajielezaje utaishia kuzimia.
 
1. Utasikia walosoma wamesaidia Nini taifa
2. Hao wenye elimu wameajiriwa na 7 C
3. Kobazi hawana akili
4. Kataa ndoa
5. GPA kubwa sio Dili
6. Bila marekani kobazi wangetuua wote sisi MAKAFIRI
7. Israel taifa teule
8. Wafukua MITARO
9. Ana chura huyo demu
10. Nimetoka kula mke wa mtu, au natoka na mke wa mtu
11. Urusi kubwa jinga
12. Israel inaongozi Kwa wasomi na wamegundua teknolojia zote Dunia, karibu wanasayansi wote ni wahayudi na matajiri wote ni wahayudi

HZO NDO KOMENTI KUU KWENYE MADA KARIBIA ZOTE JF NOWADAYS
Sasa kwani nyie mna akili kina kobazi si majinga kweli
 
Akili maana yake nini? Tuanzie hapo na usikimbie
Sasa hii ni akili mnaona

Dini yenu inapinga elimu hata hii ya western eti haram wakati huo huo mnatumia vitu vinavyotengezwa wa elimu ya kiwestern wewe pia uko unaandikq uaharisho wako wa kiislam huu kupitia imetengenezwa na western education

2.eti nchi za kiwest mbaya ila vita ikitokea mnapeleka mabichwq yetu ulaya kwann msiende kwenye nchi za kiislam

3.kila kitu kwenu haram music haram, midoli haram bima ya afya haram bank rate haram mapumbavu pumbavu tu yaaani vitu vya maendeleo kwenu haram

4.kuna kitu kinaitwa kusikilizana kwenu mnataka msikilizwe tu...ndo maana kila nchi walipo waislam kuna fujo mfano nigeria,india hawawez kukaa na watu wengine maislam yanataka sharia law kwa watu wasio waislam ufalaufala tu

5.na mwisho mashehe wenu wote ni la saba majinga matupu
 
Ntajibu kuringana na Namba ya swali

1. Nipe Aya kwenye Koran inayopinga elimu, halafu usiseme western education sema elimu maana imeanza muda na watu wote au race zote wanasoma uarabuni Kuna vyuo vikuu vikubwa na vyenye Hadhi kuliko chochote kile hapana afrika( kasome history of education)

2. Ukisema ikitokea vita wanakimbilia west, je ushawah jiuliza wanasababisha ni wakina na nani hzo vita? Na kwann ukatae kugharamia mwanamke uliempa mimba? Vita ww ndo inasababisha wakija kujificha kwako uone tabu unataka kuwafukuza, HILI SWALI LIPO NJE YA UPEO WAKO NISIPOTEZE MUDA

3. Kwanini ulazimishe vitu ambavyo watu hawapendi na hawataki, bima haramu kwenye nchi gani? Kila jamii inasheria zake na utaratibu wake wao wapo kweny nchi zao kwann uwapangie wao hao west nan anawapangia kipi halala kipi si halal?

4. Hapa unaonesha chuki za wazi, watu wapo kweny nchi zao na tamaduni zao unataka wasikilizane na nani? Sharia law ni kwaajiri ya waislamu tu mbona hili lipo wazi au unataka kuleta uongo gani Yani?

5. Mashehe wote la Saba kutoa katika nchi Gani na gani mpaka ukasema wote? Au ndo ulivokariri
 
Eti vyuo vya maana hahahah vyuo vya madrasa....
 
Back
Top Bottom