Kuna wakati huwa tunalishwa matango pori na mjamaa

Huwa wanajipiga viroba kabla ya kusaini kujiongezea ujasiri kama yule jamaa wa mwanza bungeni.
Hata pilato mwenyewe ni wale wale maana yupo kwenye kapu moja. Kukamatwa kwa mwewe wetu ni matokeo ya kusaini bila kusoma. Ni mengi mno. Aache kukurupuka.
 
Mimi nimefurahi tu jana kijana aliyetwishwa kilemba kipyaa cha akina Alqaeda akapewa nafasi ya kutoa kilio chake cha kukatiwa mazao mtoni huku akiulizwa ulizwa Jina lake na kuchangiwa laki kadhaa!!

Naona scenes za kuua kasumba kuwa Pogba mdini wa kikatoliki zinaanza kujibiwa!!!!
 
Kwani Kalemani alishasaini vingapi wakati akiwa mwanasheria mkuu pale wizara ya madini?mikataba ambayo rais anailalamikia kila siku
 
Ila msukuma anajua kupiga sound jamani. Pale pembezoni mwa ofisi ya Manispaa ya Kinondoni kuna uwanja ule umepigwa fence ya mabati maneno aliyoyatamka pale kesho yake tu fence ikapigwa tukatarajia ujenzi wa usiku na mchana. Jamani hadi leo pamejaa ukiwa.
Watu waliofukuzwa kwenye zile nyumba walimwaga machozi ya furaha kwa kuahidiwa kuwa watakuwa wapangaji wa kwanza kwa bei nafuu

Uwanja ule na mabati yameanza kuondoka taratibu patabaki peupeeee
 
Ufalme unaanza .

Kiongozi anauliza maswali hadharani huku"hataki ajibiwe"

cba363bd3c438594f0a745282e4833a0.jpg
 
Back
Top Bottom