Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 360,924
- 831,405
Jamani jamani jamani kuna watu ni wafukunyuzi hasa, na kimsingi huwa wanatuchora vilivyo na kwa sehemu kubwa wakiangalia baadhi ya viungo mwili vinavyoonekana na kulinganisha na visivyoonekana
Viungo maarufu ni midomo vidole vyote vya miguuni na mikononi
Kwamba mtu mwenye lips
nene ama nyembamba basi kuna kiungo kingine vinafanana copy right
Kwamba kama mtu ana vidole virefu vinene ama vyembamba basi kuna pahala ni same same
kicheko ni pale ninapomuona mtu ana vidole vifupi sana kisha vyembamba wallah sipati picha pacha yake ikoje

Chunguza sana watu wasiopenda kuvaa open shoes na muda wote hataki hata mikono yake uone.
Between hizi ni assumptions tu za wanadamu usitishike ukaanza kukosa uhuru na viungo vyako, na wewe acha ufukunyuzi na kuanza kukodolea watu mimacho
NB: kuna watu huchagua wenza kutokana na mwonekano wa viungo hasa midomo na vidole
Viungo maarufu ni midomo vidole vyote vya miguuni na mikononi
Kwamba mtu mwenye lips
nene ama nyembamba basi kuna kiungo kingine vinafanana copy rightKwamba kama mtu ana vidole virefu vinene ama vyembamba basi kuna pahala ni same same