Ilikuwa mwaka gani mkuu?na mwisho wake ulikuwaje?fix!!ila kuna kamtu ka namna hii kaliwahi patikana huko amerika
Duh!hii ni kali ya mwaka!ni vigumu sana ka mtu wa kawaida kuamini jambo hili!Mkuu karanga ni yakawaida ila hicho kiumbe ndo mdogo, chukua karanga fanya kama unaisimamisha thn ule upande mmoja wenye ile karanga yenye ndio ukubwa wa huyo kiumbe yaani ni kama nyuki hivi.
Nakubaliana na wewe mkuu!mi ni mbishi wa asili.
akili yangu imenituma kusema kuwa mtu huyu ana umbo lenye ukubwa kama wetu ila karanga hizi ndo kubwa kupita kiasi.hivyo mkuu utafiti itabidi title ibadilike na izungumzie ukubwa wa karanga na sio mtu.
sababu ya kutoa jibu hilo ni kutokana na ukweli kuwa mtu wa ukubwa huo ni kama sisimizi hivyo kubeba mzigo wote huo kwa kula tu haiwezekani maana hawezi kuzimaliza vile vile ubebaji hauwezi maana karanga ni kubwa mno.vile vile zana iliyoshikwa iwapo ni chuma basi karanga ya ndani pia ingedhurika.iwapo sio chuma...labda
Precisely mkuu!Not true... hayo n i mautundu tu ya watu wa ICT.
Mkuu haya ni mambo ya kufikirika tu,when it comes to real life context,hii siyo kweli!Na ushakula wengi
Mkuu hata binadamu unawaweka kwenye kundi la wadudu?Yaani, ninapochambua wadudu kwenye karanga watakuwepo, wako wengi kama hawa.
View attachment 141213View attachment 141214
Mkuu ulishawahi kuona karanga kubwa kuliko binadamu?