Kuna vitu vinatia kinyaa

Kuna vitu vinatia kinyaa

Mama Sabrina

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2016
Posts
16,618
Reaction score
27,596
Kwani hakuna vimashine vya kutoa hizo takataka hapo aaarghhhhh ,nae kavua kabisa shati jamanii8
Screenshot_2018-04-14-11-26-18-1.jpg
 
Siku moja nilikuwa naelekea Makumbusho nikitokeaTegeta,njiani nakumbuka alipanda Tozi mmoja mpaka abiria wote walishangaa...jamaa alikuwa amevaa T-shirt kama ya Ali Kiba ( itazame picha aliypiga Ali Kiba,Kikwete na Ommy Dmpoz) halafu hapo katkati ya kifua ( the part of a chest that was uncovered) palikuwa pamejaa unywele hatar tupu...halafu jamaa hana hata wasiwasi na amezkuza kwa dawa ni ndefu na nyeusi hatar!
 
Aisee hukumpiga hata ka picha hivii naona ulishangaa haswaa
 
Back
Top Bottom