Kuna vitu vinakera: Viatu vina matope

Umeonaeeee! Sababu kuna mwingine hawezi kukwambia ila ndio kama kina mleta uzi amebaki kusema "kuna vitu vinakera" na sidhani hata kama amewambia huyo dada kama alichofanya sio poa.
Kabisa
 
Hahahaaa. Itakuwa alimshawishi kwa maneno matamu sio bure.
Haha kwa tope hilo isingekua rahis dada kukubali kufotolewa,mana picha imelenga miguu tu,tena sio ya kuzoom kusema kwamba aliipiga kwa mbali kiwizi
 
Hahahaaa. We mwenye gari ndio unakwazika na wao huwa hata hawajali. Akishashuka sasa unaanza kulalamika kimoyo moyo.

Ila huyo mdada kiboko tope lote hilo anaingia nalo pasi hata kujishtukia.
Yaan wanadhan magar yanajiosha yenyewe,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…