1. Kwenye elimu anapewa kipaombele mwanamke, hili liko wazi kabisa hata kwenye mifumo ya chuo ya admission.
2. Kwenye ajira ni sera yao kabisa kua mwanamke anapewa kipaombele, hili sio la kuficha
3. Hata katika kuwezesha hulu mtaani, ni wanawake. Mfano kuna program nyingi zinazolenga kumuinua mwanamke, na si vijana kwa ujumla
Lengo la haya yote ni nini? Kwanini wanaume wanatengwa?
Uzuri wake 98% ya wanaume hawawezi kuishi; kwa namna moja au nyingine bila kuwa na uhusiano na mwanamke!!! Patamuuuuuu!!!!Mkuu mwanaume ni kiumbe tishio katika ulimwengu wa roho hata awe hasali, kikubwa awe kwenye nafas yake.
Sasa ukweli uliopo nkwamba mwanamke ndiyo mlango wa kumwingia au kumwangusha mwanaume.
Hivyo adui anampga mwanaume kupitia mwanamke.
kwenye bible kuna mahala kwenye kitabu cha Isaya imeandikwa juu ya Mungu kumpa mwanamke uwezo au jukumu la kumlinda mumewe.
Hapo utaona jinsi gani ilivyo rahisi mme kuangushwa kupitia mke(mlinzi) wake.
Kiufupi wanawake wengi ni wauaji wa wanaume , au waume zao kwa kujua au pasipo kujua, kwakuwa wanawatazama wanaume katika mtazamo wa shetani/dunia na sio Mungu.
Tujilinde kadri tuwezavyo wakuu we are heading to distinction tuache ulimbuken, kujipendekeza, upumbavu wa kuwalidhisha wanawake dhidi ya matakwa yao, maana mengi ya wanayo hitaji hayatokani na utimamu wa akili zao ila hadaa ya ibilisi.
Au niseme kwamba their mind has hacked by darkness(tukumbuke issue ya Eva kwa Adam baada ya shetani kuhack akili ya Eva).
Mleta mada una ndugu au watoto wa kike?1. Kwenye elimu anapewa kipaombele mwanamke, hili liko wazi kabisa hata kwenye mifumo ya chuo ya admission.
2. Kwenye ajira ni sera yao kabisa kua mwanamke anapewa kipaombele, hili sio la kuficha
3. Hata katika kuwezesha hulu mtaani, ni wanawake. Mfano kuna program nyingi zinazolenga kumuinua mwanamke, na si vijana kwa ujumla
Lengo la haya yote ni nini? Kwanini wanaume wanatengwa?
Hapo ndo pagum kweli kweli asee.Uzuri wake 98% ya wanaume hawawezi kuishi; kwa namna moja au nyingine bila kuwa na uhusiano na mwanamke!!! Patamuuuuuu!!!!