Chadema ni chama kinachoendeshwa katika misingi ya kilaghai.
Kila anayehoji ulaghai huo anapachikwa jina la "msaliti".
chiaguzi za ngazi tofauti katika chama zapaswa kufanyika,sanduku la kula litaamua nani anahitajika katika ngazi mbalimbali chamani,haiwekani mtu anashikilia nafasi miaka 10 no uchaguzi hii sio democrasia,chama cha siasa ni chama cha watu na sio cha ukoo au familia furani,ukifanyika uchaguzi hao wanaotwa wasaliti watatoweka.
Chadema ni chama kinachoendeshwa katika misingi ya kilaghai.
Kila anayehoji ulaghai huo anapachikwa jina la "msaliti".
Tuko nyuma ya Mbowe...
Mkimstukia msaliti tup kule, tunaendelea na mapambano ya ukombozi
naitafakari hiitweet kwa umakini sana ..Zitto Zuberi Kabwe ‏@zittokabwe 10h Mtumwa bora kwa Bwana ni yule asiyejua kuwa yeye ni mtumwa.
Collapse
11:03 PM - 26 Oct 13 · Details
Mkuu,
Kuna familia imewekeza pesa zake nyingi kuendesha shughuli za chama hiki. Ukiwaambia waachie uongozi utakuwa unatafuta ugomvi nao.
Chama cha wote kinajulikana.
chiaguzi za ngazi tofauti katika chama zapaswa kufanyika,sanduku la kula litaamua nani anahitajika katika ngazi mbalimbali chamani,haiwekani mtu anashikilia nafasi miaka 10 no uchaguzi hii sio democrasia,chama cha siasa ni chama cha watu na sio cha ukoo au familia furani,ukifanyika uchaguzi hao wanaotwa wasaliti watatoweka.
CHADEMA Kuitoa CCM madarakani ni ndoto chini ya huyu mtu.Hapendi kabisa kukosolewa au kuulizwa jambo lolote linalohusiana na fedha au uvunjaji wa kanuni na katiba ya Chama.CHADEMA nilitaka sana uchukue utawala wa hii Nchi lakini naona hilo halitawezekana tena.I will have to think of my political position again,I will become an Independent I guess.