Artifact Collector
JF-Expert Member
- Mar 7, 2019
- 6,539
- 10,006
Nimetoka kuangalia EATV kipindi cha ubunifu lakin nimeshtushwa watu wanatengeneza Internet of things applications wanaita ubunifu serious.
Internet of things (IoT) applications kama smart home, smart farming, smart factory, smart city n.k sio ubunifu wa kupita kifua mbele. Lazima vijana tuwe update na current technology ili tujue upi ni ubunifu na upi sio.
Ubunifu lazima utatue tatizo Fulani ambalo jamii imeshindwa, na uendane na wakati, mfano huwez tengeneza helikopta ya mabati au baiskeli ya miti ukasema ni ubunifu
Kwa sababu unaweza sema umebuni kitu leo, kumbe yuko mtu ameshatengeneza kitu kama hicho miaka 20 au 30 iliyopita.
Na kinachofanyika Tanzania kwa asilimia kubwa ni technology adoption (upgraded) na sio ubunifu