Kuna uwezekano wa mwanamke kutolewa kizazi wakati wa sex?

john johns

Senior Member
Feb 13, 2014
113
64
Toka niko mdogo na sasa nimekuwa nilikuwa naambiwa eti inawezekana mwanamke akang'ofolewa kizazi endapo atasex na mwanaume mwenye uume mrefu.

Sasa nawaza kuwa huo uzazi unaosemewa hapo ni uterus? na kama ndio inawezekanaje ikang'ofolewa kwa penis. ama inakuaje? nisaidie mnaofahamu

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Kwa sababu wewe ni ME , jibu ni rahisi sana.

Kama una mke na hauna kibamia basi utaelewa na mkeo anaelewa.

Ila Kama, una kibamia hata ukeshe na ushindie juu ya papunchi hakuna side effects.
 
Kwa sababu wewe ni ME , jibu ni rahisi sana.

Kama una mke na hauna kibamia basi utaelewa na mkeo anaelewa.

Ila Kama, una kibamia hata ukeshe na ushindie juu ya papunchi hakuna side effects.
ana kibamia chwa mwendo kasi
 
Back
Top Bottom