Kuna uwezekano wa mimba hapa kweli?

he!! kwa hiyo klorokwini unataka demu wangu awe na mimba lol!! pbado mapema mkuu sema mambo ya kuabort ndio hayatakuwepo kabisa h

mkuu hutaki tuongeze idadi ya washabiki? mimi nategemea kuleta washabiki wa simba kama nane hivi duniani.
 
condom ya nini wakati tulishapima tunajiamini sema hatujajiandaa tu kuwa na mtoto bado

kama hauko tayari ungechukua measures kuhakikisha mimba haiingii...hii ni pamoja na kutumia condom,unauliza mzunguko ukoje baada ya kufanya ngono tayari??wewe vipi?ulitakiwa uulize haya kabla ya kufanya ngono na sio baada...kubali tu matokeo...lea mwanao huyo.
 
nilitumia condoms lakini huwezi jua condoms hazina uhakika kwa % 100 nadhania hat wewe unalitambua hili ..au labda nimechakachuliwa nini bila kujua
 
duhh mi nilizani tayari unao...hahah lol au hawa ni wa JF tu..
nishawaleta watatu, mmoja alirest in peace. 5 watafuatia. nipo katika mkataba wa kubadilisha katiba na waifu waongezeke 2 ili iwe 10, lakini waifu analeta upinzani mkali bungeni hata hao nane anapinga. sjui utanisaidia vp kufikia hii rezolusheni yangu ? eeh afro mwana wa denzi, hii haki kweli?
 
hapa nilikuwa nataka kueleweshwa kuhusu mzunguko wa siku mzee na wala sio kupima mimba /kupima tutapima famacy nyingi tu wanauza vile vipimo

sasa Ivunga siku nyingine kuepusha haya ...baada ya kufanya tu..
nendeni kwenye maduka ya madawa kanunueni morning after pills ...
ni masaa 48 baada ya kumaliza game...
lakini kwa sasa haita saidia ..
hii ni kwa future reference tu...
 
nilitumia condoms lakini huwezi jua condoms hazina uhakika kwa % 100 nadhania hat wewe unalitambua hili ..au labda nimechakachuliwa nini bila kujua

mmmhhhh kwa kweli kama condom uliweka vizuri bila kutoboa...
hata usijali kabisa..
kwani mimi naamini condom 100%....
 
Mzee kipimo cha mimba ni very cheap...mchukue mkapime tu sio lazima iwe thread mtu wangu

Yaani siku hizi kwenye jukwaa hili kuna thread za ajabu ajabu kweli. Baadae tutaanza kuwa tunaulizana kuwa kesho nina mpango wa kumtoa mke wangu out, hivyo nipeni ushauri. Yaani ni taabu tupu thread nyingine
 
nishawaleta watatu, mmoja alirest in peace. 5 watafuatia. nipo katika mkataba wa kubadilisha katiba na waifu waongezeke 2 ili iwe 10, lakini waifu analeta upinzani mkali bungeni hata hao nane anapinga. sjui utanisaidia vp kufikia hii rezolusheni yangu ? eeh afro mwana wa denzi, hii haki kweli?

mmmhh kwanza hongera sana kwa hao malaika watatu...
Pole sana kwa amabaye ametutangulia ..
mmmmmmm kuhusu hao five kwa kweli mmhh sina la kusema..
hii hauwezi kufanya mwenyewe itabidi usali sana halafu uwanze kutembea na magoti mwombe mama
lakini usisema unataka 5.. hapana
sema unataka mmja tu zaid..
huyo mmja akisha kuja unatafuta mbinu nyingine ya kumpata mwingine...
hahahah sijui kama itafanya kazi..

mmmhh all the best..:party:
 
sasa Ivunga siku nyingine kuepusha haya ...baada ya kufanya tu..
nendeni kwenye maduka ya madawa kanunueni morning after pills ...
ni masaa 48 baada ya kumaliza game...
lakini kwa sasa haita saidia ..
hii ni kwa future reference tu...
asante kwa ushauri wako tuutazingatia huu ushauri
....mimi badi kumbe zumbukuku ..kuna mambo mengi bado natakiwa kuyajua
 
nishawaleta watatu, mmoja alirest in peace. 5 watafuatia. nipo katika mkataba wa kubadilisha katiba na waifu waongezeke 2 ili iwe 10, lakini waifu analeta upinzani mkali bungeni hata hao nane anapinga. sjui utanisaidia vp kufikia hii rezolusheni yangu ? eeh afro mwana wa denzi, hii haki kweli?

pole sana wa kumpoteza huyo mmoja
 
Yaani siku hizi kwenye jukwaa hili kuna thread za ajabu ajabu kweli. Baadae tutaanza kuwa tunaulizana kuwa kesho nina mpango wa kumtoa mke wangu out, hivyo nipeni ushauri. Yaani ni taabu tupu thread nyingine

sasa mkuu mimi nimeomba ushauri na mbona wadau washanisaidia na wanaendelea kunisaidia au hujasoma heading ya jukwaa?
 
asante kwa ushauri wako tuutazingatia huu ushauri
....mimi badi kumbe zumbukuku ..kuna mambo mengi bado natakiwa kuyajua

hapana wala we si zumbukuku
wanaume wengi hajui haya...

unajua saa nyingine mmetoka beach na mpenzio..
raha tupu unataka kumbeba tu umweke juu ya sink, washing machine, juu ya mmeza, kitandani n.k..
kwa raha zenu tu...

sasa kwa vile mmeshapima na wote mmko safi..
kwa nini bibie asichukue pills za kuzuia mimba....
au ka anaona atasahau apate injection....
unajua saa nyingine hutaki kula pipi kwenye mfuko wake ....
kama wote mko safi... condom zinatia kera..
 
mmmhh kwanza hongera sana kwa hao malaika watatu...
Pole sana kwa amabaye ametutangulia ..
mmmmmmm kuhusu hao five kwa kweli mmhh sina la kusema..
hii hauwezi kufanya mwenyewe itabidi usali sana halafu uwanze kutembea na magoti mwombe mama
lakini usisema unataka 5.. hapana
sema unataka mmja tu zaid..
huyo mmja akisha kuja unatafuta mbinu nyingine ya kumpata mwingine...
hahahah sijui kama itafanya kazi..

mmmhh all the best..:party:

pole sana wa kumpoteza huyo mmoja

senksi wakuu, acheni nikaongeze kilo mwilini kwanza. pliz leave the message after the tone. twiii
 
hapana wala we si zumbukuku
wanaume wengi hajui haya...

unajua saa nyingine mmetoka beach na mpenzio..
raha tupu unataka kumbeba tu umweke juu ya sink, washing machine, juu ya mmeza, kitandani n.k..
kwa raha zenu tu...

sasa kwa vile mmeshapima na wote mmko safi..
kwa nini bibie asichukue pills za kuzuia mimba....
au ka anaona atasahau apate injection....
unajua saa nyingine hutaki kula pipi kwenye mfuko wake ....
kama wote mko safi... condom zinatia kera..

tatizo la huyu binti ni kwamba yeye anataka mtoto kutoka kwangu sio kwamba ananilazimisha lakini nandai kuwa akipata mimba hataitoa na atailea na dada yake anashabikia hii kitu sana
 
mmmhhh hatari kuwa mwangalifu...
kwani kama we hauko tayari si vema kupata mtoto..
wote mnatakiwa kujitayarisha.....
kama Mungu akija kuwajalia kupata mimba
hiyo ni kazi yako na bibie....
huyo dada aache kuingilia kwani hayamuhusu...
hata mie sipendi watu watoe mimba...(lakini hii ni choice ya kila mtu)
mimi naona ni borea ku prevent from the 1st moment...
o just after wards...
 
Back
Top Bottom