Kuna uwezekano wa mimba hapa kweli? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kuna uwezekano wa mimba hapa kweli?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Saint Ivuga, Dec 21, 2010.

 1. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #1
  Dec 21, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,496
  Likes Received: 19,907
  Trophy Points: 280
  Wakuu habarini zetu,naombeni mawazo yenu wakuu. Demu nilitembea naye TR 3 na TR 4..na yeye siku zake za kuwa mwezini ni tarehe 28. Sasa demu ananiambia hajisikii vizuri .. Ndio nataka kujua kuwa kuna uwezekano wa mimba hapa kwa wataalamu..nilitumia mipira lakini si unajua uwezekano ni mkubwa sana tu.
   
 2. GY

  GY JF-Expert Member

  #2
  Dec 21, 2010
  Joined: Nov 2, 2009
  Messages: 1,280
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 133
  Mzee kipimo cha mimba ni very cheap...mchukue mkapime tu sio lazima iwe thread mtu wangu
   
 3. Rutunga M

  Rutunga M JF-Expert Member

  #3
  Dec 21, 2010
  Joined: Mar 16, 2009
  Messages: 1,556
  Likes Received: 230
  Trophy Points: 160
  Inawezekana tu akawa amepata mimba kutoka kwako AU anakubambikia.Kuhusu kuhesanu tarehe hiyo husitumie kabisa kwani uchafu(damu) upatikanao kwa tarehe husika huwa ni mayai yaliyopasuka baada ya kukosa manii kutoka kwa me .Hivyo mayai yanaweza kutegeshea kwa siku kadhaa na ikitokea yakakosa manii kwa siku hizo hupasuka ambayo ndiyo damu.hapa watu wengi hukosea kwa kudhani tarehe ya mwezini kwa akina dada kudhani ndiyo siku hatari wakati siku hatari ni kuhesanu siku 7 before na 7 after .take care
   
 4. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #4
  Dec 21, 2010
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  sio ya kwako ....
   
 5. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #5
  Dec 21, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,036
  Trophy Points: 280
  tar 28 ya mwezi gani mkuu....na ana mzunguko wa siku ngapi......?hebu weka vizuri tukuchakachulie mahesabu shalaa
   
 6. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #6
  Dec 21, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,496
  Likes Received: 19,907
  Trophy Points: 280
  tutaenda kupima manake hata yeye mwenyewe anaweza kujipima ila nilikuwa nataka kuhakiki kupitia mzunguko wa siku zake bro
   
 7. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #7
  Dec 21, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,496
  Likes Received: 19,907
  Trophy Points: 280
  nadhani tr 28 ya kila mwezi ...ila jana kaniambia atapata siku zake tarehe 28
   
 8. babayah67

  babayah67 JF-Expert Member

  #8
  Dec 21, 2010
  Joined: Mar 28, 2008
  Messages: 493
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Kijana Acha kuonja onja hovyo, kwa nini usioe??? Ukioa akawa wako wako hiyo hofu haitokuwapo, kwani badala ya hofu utakuwa na furaha tele na kujiamini kuwa ni kidume cha mbegu!!!!!!!!!
   
 9. klorokwini

  klorokwini JF-Expert Member

  #9
  Dec 21, 2010
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 8,710
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 135
  [​IMG] hongera jibaba. tutafrahi sana kuona unatuletea mshabiki wa simba junior. Simba oyeee! Yanga ziiiiiii
   
 10. Humphnicky

  Humphnicky JF-Expert Member

  #10
  Dec 21, 2010
  Joined: Dec 1, 2010
  Messages: 1,808
  Likes Received: 526
  Trophy Points: 280
  Kwanini hukutumia kondom, je hujui kuwa mimba ni hatari kuliko ukimwi?
   
 11. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #11
  Dec 21, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,496
  Likes Received: 19,907
  Trophy Points: 280
  condom ya nini wakati tulishapima tunajiamini sema hatujajiandaa tu kuwa na mtoto bado
   
 12. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #12
  Dec 21, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,496
  Likes Received: 19,907
  Trophy Points: 280
  na lazima awe mwekundu pure
   
 13. TUKUTUKU

  TUKUTUKU JF-Expert Member

  #13
  Dec 21, 2010
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 11,852
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Kwa nini mkuu unachakachua bila kondomu!wewe ni mzembe!!acha kufanya ngono zembe,tutakupoteza mkuu!!
   
 14. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #14
  Dec 21, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,036
  Trophy Points: 280
  haiwezekani iwe kila tar 28 lazima ipite au iwahi ni mara chache sana kuwa tar hiyo hiyo....however.......hizo tar ulizommega uwezekano wa kupata haupo...lets say ilikuwa nov 28 na anakuwa kwenye hedhi siku 3 au 4, tarehe zake za danger zitakuwa tar 8 mpaka 14 au 15 then kuanzia hapo ni mteremko tena mpaka tar 26 dec ndio ataona siku zake........okaaaaay
   
 15. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #15
  Dec 21, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,036
  Trophy Points: 280
  yu kanti bi siriazi......
   
 16. klorokwini

  klorokwini JF-Expert Member

  #16
  Dec 21, 2010
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 8,710
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 135
  mbona unaweka kauzibe bana! au mshabiki wa yanga wewe?
   
 17. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #17
  Dec 21, 2010
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 689
  Trophy Points: 280
  Kwa hiyo ameamua kipimo cha mimba ni thread.
   
 18. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #18
  Dec 21, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,496
  Likes Received: 19,907
  Trophy Points: 280
  tumepima bwana huyu ni demu wangu nshasema
   
 19. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #19
  Dec 21, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,036
  Trophy Points: 280
  umesemaje?....yanga ziiiii?....huli dinner leo nakwambia....ukale huko huko simba
   
 20. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #20
  Dec 21, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,496
  Likes Received: 19,907
  Trophy Points: 280
  he!! kwa hiyo klorokwini unataka demu wangu awe na mimba lol!! pbado mapema mkuu sema mambo ya kuabort ndio hayatakuwepo kabisa h
   
Loading...