mamamzungu
JF-Expert Member
- Nov 17, 2019
- 2,650
- 4,481
Everything is possible under the sun🌞Kuna mtu alituma mzigo mkoa X wenye thamani ya 3.5 kwenye basi na yeye alikuwa mkoa X bahati mbaya akafariki na hakuna mtu anaejua gari gani alisafirishia huo mzigo vipi kuna uwezekano wa kuupata huo mzigo ten...
Muwe na bahati tu cute....maana huwa wanataka uhakika wa mawasiliano balaaNinachojua tarehe aliyosafirisha na mahali ulipoenda huo mzigo ila sijui ni gari gani aliupakia
Muwe na bahati tu cute....maana huwa wanataka uhakika wa mawasiliano balaa
Unaupata, kama hauozi mnasubiri mpate cheti cha kifo hawatakataaKama nina namba zake za simu zote nikawatajia na majina yake je itasaidia??
Kazi nyingine ngumu sana
Hapo Sawa....kajaribu kuulizia watakuonyesha orodha ya Magari yote yaliyosafiri sikuhiyo ivo itakuwa rahisi ila uvumilivu wako tu wa kusubiri maana itachukua muda kutafuta mzigo wenyeweKama nina namba zake za simu zote nikawatajia na majina yake je itasaidia??
Unaupata, kama hauozi mnasubiri mpate cheti cha kifo hawatakataa
Hapo Sawa....kajaribu kuulizia watakuonyesha orodha ya Magari yote yaliyosafiri sikuhiyo ivo itakuwa rahisi ila uvumilivu wako tu wa kusubiri maana itachukua muda kutafuta mzigo wenyewe
Leo jioni nimefikisha 1month tangu nilipo pata ajari ya kugongwa na gari nikiwa Kama abiria kwenye pikipiki na kuvunjika mguu..Kuna mtu alituma mzigo mkoa X wenye thamani ya 3.5 kwenye basi na yeye alikuwa mkoa X bahati mbaya akafariki na hakuna mtu anaejua gari gani alisafirishia huo mzigo vipi kuna uwezekano wa kuupata huo mzigo tena
Namaanisha tukaenda ofisini kuutafuta tukaulizia magari yanayoenda mkoa huo na tukapata huo mzigo au ndio unakuwa umeenda huo mzigo
Ninachojua tarehe aliyosafirisha na mahali ulipoenda huo mzigo ila sijui ni gari gani aliupakia
pakiwepo na vielezo vinavyo kidhi haja mnaweza kupata, ajaliwe kupumzika kwa amani.Kuna mtu alituma mzigo mkoa X wenye thamani ya 3.5 kwenye basi na yeye alikuwa mkoa X bahati mbaya akafariki na hakuna mtu anaejua gari gani alisafirishia huo mzigo vipi kuna uwezekano wa kuupata huo mzigo ten...
Leo jioni nimefikisha 1month tangu nilipo pata ajari ya kugongwa na gari nikiwa Kama abiria kwenye pikipiki na kuvunjika mguu...
pakiwepo na vielezo vinavyo kidhi haja mnaweza kupata, ajaliwe kupumzika kwa amani.
Very simple wala si la kuumiza kichwa....poleni na msiba
Huwa najiulizaga sana wanao agiza mizigo china kupitia makampuni mbalimbali na wale one man army, inapotokea mtu amepoteza maisha si ndio mzigo umeenda.
Ukute unapambana na mishe zako, hushirikishi familia kama unayo, au iwe hauna kabisa umejiagizia zako kagari au kontena la mizigo kadhaa inaenda potea bure buree.
Pia naamini mitadao ya simu kuna pesa nyingi za wafu zinabak nazo pindi wanapoaga dunia, labda ndugu wapate akili ya kufatilia.
Inawezekana? NDIYO.Kuna mtu alituma mzigo mkoa X wenye thamani ya 3.5 kwenye basi na yeye alikuwa mkoa X bahati mbaya akafariki na hakuna mtu anaejua gari gani alisafirishia huo mzigo vipi kuna uwezekano wa kuupata huo mzigo tena
Namaanisha tukaenda ofisini kuutafuta tukaulizia magari yanayoenda mkoa huo na tukapata huo mzigo au ndio unakuwa umeenda huo mzigo
Ninachojua tarehe aliyosafirisha na mahali ulipoenda huo mzigo ila sijui ni gari gani aliupakia