Kwa waliopo tayari haitawahusu. Kwa sababu kuna mkataba wa PERMANENT AND PENSIONABLE.Kuna
uwezekano mkubwa wa kupelekwa mswada wa ajira za mkataba katika utumishi wa umma kwa ngazi zote.Watumishi wa umma tujiandae kisaikolojia,hata maaandiko matakatifu yananena hv"Siku ya kja mwana wa adamu hakna aijuaye isipokuwa baba"
KWAHIYO SITAKI KUULIZWA Maswali yasiyo na msingi kuhusu thread hii.
Kwa waliopo tayari haitawahusu. Kwa sababu kuna mkataba wa PERMANENT AND PENSIONABLE.
itawezekana tu kama kutafikiwa makubaliano ya kuvunja mkataba.
wanavyeti zaidi yenu, sio sifa na uzoefu wa kazi...Graduates ni wengi na wana sifa zaid yetu
Kwa vyeti tuuu aahhh wapo vizuri waweke kazini sasa ni majanga matupu hata kuandika barua/memo ni shida mpaka unashangaa huyu mtu katokea wapi jamani unachoka kabisawanavyeti zaidi yenu, sio sifa na uzoefu wa kazi...
Nahisi hata ufanisi piaLengo likiwa nini
Nahisi hata ufanisi pia
Vijana wanasikitisha sana na hawataki kuelekezwa wengi wao...Kwa vyeti tuuu aahhh wapo vizuri waweke kazini sasa ni majanga matupu hata kuandika barua/memo ni shida mpaka unashangaa huyu mtu katokea wapi jamani unachoka kabisa
Sijajua unamaanisha ajira zipi!!!!Lakini ukisoma standing order,inaonyesha kuwa kuna ajira mbili za utumishi wa umma.Ya mkataba kwa yule anayeajiriwa baada ya kufikisha miaka 45 na ya pensheni pamoja na masharti ya kudumu kwa wale wote walio chini ya 45.Kwa hiyo ajira ya mkataba iko hadi serikalini.Pia hata wageni wanaweza kupewa hii ya mkataba.Kuna
uwezekano mkubwa wa kupelekwa mswada wa ajira za mkataba katika utumishi wa umma kwa ngazi zote.Watumishi wa umma tujiandae kisaikolojia,hata maaandiko matakatifu yananena hv"Siku ya kja mwana wa adamu hakna aijuaye isipokuwa baba"
KWAHIYO SITAKI KUULIZWA Maswali yasiyo na msingi kuhusu thread hii.
Umeona eehhh kumbe na wewe yamekukuta eeehhh? Yaani mie sina hamu kabisa nimegeuka kuwa mwalimu siku hizi... ila kuna moja ndio iliniacha hoi kaja kufanya field/intern kafanya kamaliza akaaga namuuliza vip report umeandika? ananiambia yanini sasa mie nishamaliza miezi yangu mitatu nasepa nikamwacha hu hu kufika huko anadaiwa report yakamshuka anarudi Dada nisaidie kunitumia report ya waliopita ni edit!!!! Maajabu.............Vijana wanasikitisha sana na hawataki kuelekezwa wengi wao...