Kuna uwezekano wa kuanzishwa kwa ajira za mkataba serikalini

spacing

JF-Expert Member
Nov 22, 2014
265
107
Kuna uwezekano mkubwa wa kupelekwa mswada wa ajira za mkataba katika utumishi wa umma kwa ngazi zote.Watumishi wa umma tujiandae kisaikolojia, hata maaandiko matakatifu yananena hivi" Siku ya atakapokuja mwana wa adamu hakuna aijuaye isipokuwa baba"

KWAHIYO SITAKI KUULIZWA Maswali yasiyo na msingi kuhusu thread hii.
 
Kuna
uwezekano mkubwa wa kupelekwa mswada wa ajira za mkataba katika utumishi wa umma kwa ngazi zote.Watumishi wa umma tujiandae kisaikolojia,hata maaandiko matakatifu yananena hv
"Siku ya kja mwana wa adamu hakna aijuaye isipokuwa baba"
KWAHIYO SITAKI KUULIZWA Maswali yasiyo na msingi kuhusu thread hii.
Kwa waliopo tayari haitawahusu. Kwa sababu kuna mkataba wa PERMANENT AND PENSIONABLE.
itawezekana tu kama kutafikiwa makubaliano ya kuvunja mkataba.
 
Hii hali nilishaihisi sana na ninafikiri kwa maamuzi ya sirikali hii ya tano mmmhhh hii kitu ndogo sana kamata wote vunja mkataba wa permanent and pensionable wape mitatu mitatu au zuga mitano mitano... mhhh
 
Wasomi ni wengi tusikatae na ni more creative kliko tuliopo kwenye system hata tukibisha ni sawa na Bure tu.
 
ni naona technologies imekua sana watumishi wa umma musiwe wagumu kujiapdate kwa fani zenu,unakta Mkuu wa shule hana hata computer hku anahandle wanafunzi zaid ya 400
 
Nitakuja kutoa mrejesho siku wanapeleka mswada pale idodomya,
 
Mkataba sawa japo najua si kazi zote serikalini zitakuwa za mkataba, zingine watabaki wa kudumu. tujifunze kwa nchi kama US ambayo watumishi wengi contract
 
Nahisi hata ufanisi pia


Ufanisi upo sana, ila wao ndiyo wanademoralize watumishi, swala si mikataba, ni maboresho ya maslahi, huwezi kuvuna mchicha kama huumwagilii maji ya kutosha, na wala usitegeme ng'ombe kutoa maziwa kama humpi majani wala maji ya kutosha, Jiulize wale anaowasifia JPM wakiwemo askari kwa utendaji wa kazi mzuri kwenye mikutano ina maana hawana ufanisi au anawasifia kwa kuwapaka mafuta kwa mgongo wa chupa
 
Kwa vyeti tuuu aahhh wapo vizuri waweke kazini sasa ni majanga matupu hata kuandika barua/memo ni shida mpaka unashangaa huyu mtu katokea wapi jamani unachoka kabisa
Vijana wanasikitisha sana na hawataki kuelekezwa wengi wao...
 
Kuna
uwezekano mkubwa wa kupelekwa mswada wa ajira za mkataba katika utumishi wa umma kwa ngazi zote.Watumishi wa umma tujiandae kisaikolojia,hata maaandiko matakatifu yananena hv
"Siku ya kja mwana wa adamu hakna aijuaye isipokuwa baba"
KWAHIYO SITAKI KUULIZWA Maswali yasiyo na msingi kuhusu thread hii.
Sijajua unamaanisha ajira zipi!!!!Lakini ukisoma standing order,inaonyesha kuwa kuna ajira mbili za utumishi wa umma.Ya mkataba kwa yule anayeajiriwa baada ya kufikisha miaka 45 na ya pensheni pamoja na masharti ya kudumu kwa wale wote walio chini ya 45.Kwa hiyo ajira ya mkataba iko hadi serikalini.Pia hata wageni wanaweza kupewa hii ya mkataba.
 
Vijana wanasikitisha sana na hawataki kuelekezwa wengi wao...
Umeona eehhh kumbe na wewe yamekukuta eeehhh? Yaani mie sina hamu kabisa nimegeuka kuwa mwalimu siku hizi... ila kuna moja ndio iliniacha hoi kaja kufanya field/intern kafanya kamaliza akaaga namuuliza vip report umeandika? ananiambia yanini sasa mie nishamaliza miezi yangu mitatu nasepa nikamwacha hu hu kufika huko anadaiwa report yakamshuka anarudi Dada nisaidie kunitumia report ya waliopita ni edit!!!! Maajabu.............
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom