GE2025 Kuna uwezekano wa CCM kuanguka

GE2025 Kuna uwezekano wa CCM kuanguka

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

MlimaSayuni

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2013
Posts
6,544
Reaction score
11,644
Declaration of Interest.
Mimi siyo mfanyakazi wa Geti jeusi, ila baada ya kufanya utafiti na mazungumzo kadha wa kadha na vijana wanaofanya kazi hapo, napenda kuleta Habari njema asilimia 80-90% ya hawa vijana wetu kwa sasa hawaiungi mkono Serikali iliyopo, na badala yake wakiwa wajidaliana kwa uwazi kabisa kuwa Watanzania wa sasa sio wa jana.

Wanasema teknolojia imekuwa sana huwezi kuzuia flow of information na kwa kiasi na kasi uoga wa Watanzania umepungua sana, Hawa vijana wamekuwa wakitoa ushauri na nasaa kadha wa kadha juu ya athari zilizopo mbele kwa Taifa kama mtindo wa uongozi haitabadilika.

Endapo Watanzania watafanya maandamano makubwa atleast watu 1000 basi uungwaji mkono wa CCM ndani ya vyombo vya dola utaanguka vibaya mno (Catarophic collapse).

Huu ujumbe ni wa uhakika mkubwa sana, nitoe Rai kwa watu wote mnaojihusisha na uchawa, tukio hili liko karibu ila pengine linaweza likawa la ghafla kwa Chawa, ifike hatua Watanzania tujadili faida za Taifa na sio nani awe Rais.

Ndugu wa Tanzania wenzangu, chonde chonde usimtukane mtu, kuonea mtu au kumdhuru mtu kisa tu hakubaliani na huu utawala.

Hivi karibuni mtashuhudia watanzania wanasimamisha shughuli zao za kila siku na kudai mabadiliko kwa lazima na nguvu.
 
Kwa nini maandamano hayafanikiwa Tanzania?
1. Ni njia isiyo rafiki na watanzania wanaona hivyo
2. Watanzania wanaona Bado Tanzania ni kisiwa Cha amani
3. Wanajivunia maendeleo yao
4. Wanaamini

Hivyo hakuna uwezekano hata wa asilimia moja maandamano kufanikiwa Tanzania
 
Declaration of Interest.
Mimi siyo mfanyakazi wa Geti jeusi, ila baada ya kufanya utafiti na mazungumzo kadha wa kadha na vijana wanaofanya kazi hapo, napenda kuleta Habari njema asilimia 80-90% ya hawa vijana wetu kwa sasa hawaiungi mkono Serikali iliyopo, na badala yake wakiwa wajidaliana kwa uwazi kabisa kuwa Watanzania wa sasa sio wa jana.

Wanasema teknolojia imekuwa sana huwezi kuzuia flow of information na kwa kiasi na kasi uoga wa Watanzania umepungua sana, Hawa vijana wamekuwa wakitoa ushauri na nasaa kadha wa kadha juu ya athari zilizopo mbele kwa Taifa kama mtindo wa uongozi haitabadilika.

Endapo Watanzania watafanya maandamano makubwa atleast watu 1000 basi uungwaji mkono wa CCM ndani ya vyombo vya dola utaanguka vibaya mno (Catarophic collapse).

Huu ujumbe ni wa uhakika mkubwa sana, nitoe Rai kwa watu wote mnaojihusisha na uchawa, tukio hili liko karibu ila pengine linaweza likawa la ghafla kwa Chawa, ifike hatua Watanzania tujadili faida za Taifa na sio nani awe Rais.

Ndugu wa Tanzania wenzangu, chonde chonde usimtukane mtu, kuonea mtu au kumdhuru mtu kisa tu hakubaliani na huu utawala.

Hivi karibuni mtashuhudia watanzania wanasimamisha shughuli zao za kila siku na kudai mabadiliko kwa lazima na nguvu.
Kwa ccm ilipofikia ni heri kuanza upya...
 
AMINA. maana yake na iwe hivyo
 
20250816_220736.jpg
 
It is very much possible
 
Utakuwa ulikuwa unaongea tu na mhuni siyo mtu wa geti jeusi labda hukusikia vizuri ni geti la kijani.

It will take 200 years to reach that stage. Ni mpaka mambo haya yatoke kwa watanganyika.
1. Ubinafsi uliopindukia ndiyo maana tumezalisha taifa la machawa. Umimi, usisi etc
2. Ujinga uliopindukia, haijalishi mtu ana PhD or a Professor. Taifa limejaa wajinga zaidi ya 90%.
3. Umasikini wa kifikra, haijalishi mtu ana PhD or a Professor. Tuna Professorial rubbish nyingi mno.
4. Taifa nitaendelea kuongozwa na watu wapumbavu maana welevu hawataki siasa. Welevu wanapojitokesha watawala wapumbavu kuhakikisha anazimwa mara moja.
 
.
Hivi karibuni mtashuhudia watanzania wanasimamisha shughuli zao za kila siku na kudai mabadiliko kwa lazima na nguvu.
Hakuna kitu kama hiki, not now and never!, unless kama wewe huwajui Watanzania! Watanzania ni maneno maneno na kulialia, Vitendo 0. Katiba ni maneno tu! Je, 2023 tuendeleze maneno matupu na kulialia au tubadilike tufanye kitu?

Politics is science, political science, inafuata scientific principles, CCM haiwezi kuondoshwa mpaka kwanza iwepo its replacement. Nchi haiwezi ku exist in vacuum!.
P
 
Back
Top Bottom