OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 49,814
- 106,546
Mara piko ya mamakweli matumizi ni ya kupindukia.mara magoli ya mama.mabango.misafara ndiyo balaa, kuna landcruiser huwa zipo tupu
Mara piko ya mamakweli matumizi ni ya kupindukia.mara magoli ya mama.mabango.misafara ndiyo balaa, kuna landcruiser huwa zipo tupu
Hapa ndio Wachina wanatupiga pesa ndefu sana maana hio riba unaambiwa ni kubwa sana sana kila ukichelewesha malipo yao, yaani ile pesa inapigiwa interest kila siku kwahio unawezq kukuta siku mchina analipwa hadi billion kama interest.3. Wakandarasi wa miradi mikubwa hao ndio wameambiwa wasubiri hadi July 2024 yaani mwaka mwingine wa fedha na wao wameamua kusitisha kazi mfano ni Yepi Markenz.
Mafuriko yafike pale magogoni hahaahhaUnataka uone dalili gani ili uamini?
Sasa akili zitatoka wapi ndugu wenyewe UWT njaaa tupu sasa mtu akiwa na njaaa akili zinatoka wapiUWT hawana akili kabisa
Sasa kama hali Iko hivyo na kauli mbiu Yao wataongoza milele si balaaaa Hilo sasaSerikali hii ina matumizi makubwa sn ya anasa
Hakuna namnaSasa kama hali Iko hivyo na kauli mbiu Yao wataongoza milele si balaaaa Hilo sasa
Hatari na nusuSasa akili zitatoka wapi ndugu wenyewe UWT njaaa tupu sasa mtu akiwa na njaaa akili zinatoka wapi
Na bado...mpaka waseme!
Huku mitaani nako hali ya ukusanyaji kodi ni 'tia maji tia maji'...ile kaulimbiu ya "ukiuza toa risiti na ukinunua dai risiti" utekelezaji wake kama vile umejifia baada ya kukosa wafuatiliaji.
Bila ukusanyaji mzuri wa kodi serikali itafilisika.
Hangaya hana habari...yeye ni anga kwa anga.
Jambo zuri sana,maana ulikua umesimama kitambo,zile daraja zikimalizika zitasaidia kupunguza foleni barabara ya nyererenimepita jana hapo, ujenzi unaendelea kama kawaida
Hivi,kama mkandarasi analamba penalty acheleweshapo kumaliza kwa wakati, serikali yenyewe ikinshindwa kutiza wajibu wake kama ulivyo mkataba, inakuwaje!
Hata huko kwenye kununua mavieite wamepiga cha juu hatariUkishakuwa na kipaumbele cha kuwanunulia viongozi ma viieite badala ya kujenga barabara.......wewe tayari una tatizo la msingi kabisa kwenye namna unavyofikiri.
I tried to save a Shilling once but a shilling never saved me. I will never try to save it again....Hii nchi kwisha habari yake.
Dola moja sasa ni tshs 2800.
Mama kaikuta ikiwa 2150.
Ati kuna mtu ana jiita mchumi namba moja.
Nchi ime toboka kila upande.
Acha uongo!Hapa ndio Wachina wanatupiga pesa ndefu sana maana hio riba unaambiwa ni kubwa sana sana kila ukichelewesha malipo yao, yaani ile pesa inapigiwa interest kila siku kwahio unawezq kukuta siku mchina analipwa hadi billion kama interest.
Miradi ya serikali Kwa wazawa inachangia Kwa kias kikubwa kuwafilisi,sjui wanaanzisha mirad ya nn kama hakuna fedhaMwaka wa fedha 2023/2024 ulianza July 2023 na mpaka leo February 2024 ni zaidi ya nusu mwaka. Habari zilizopo ni kuwa
1. Wakandarasi walioshida zaburi na kusaini tangu September mwaka jana mpaka leo hakuna aliyelipwa hada Advance hivyo wengi wamesimamisha kazi.
2. Wakandarasi wengine wengi wameshinda zabuni lakini mpaka leo february toka October na November hawahasaini mikataba ya kuanza kazi hivyo hakuna kinachofanyika
3. Wakandarasi wa miradi mikubwa hao ndio wameambiwa wasubiri hadi July 2024 yaani mwaka mwingine wa fedha na wao wameamua kusitisha kazi mfano ni Yepi Markenz.
Kwa kifupi serikali ya Mama Samia haijatekeleza mradi wowote wa ujenzi katika mwaka wa fedha 2023/2024.
Swali ni Je?
1. Bajeti ya Ujenzi iliyopitishwa imeelekezwa wapi?
2. Au tayari wameamua kwenda kuilipia madeni ya mikopo iliyoiva kumbuka maneno ya mama mwenyewe kuwa huwa wanakaa na Mwigulu ni ku re allocate badget.
Serikali itupe majibu kuwa kwa mwaka wa fedha 2023/2024 imetekeleza mradi gani wa ujenzi? either mpya au routine maintanance?