Kuna uwezekano Serikali ya Samia imeishiwa hela. Wakandarasi hawajalipwa ndani ya nusu ya mwaka wa Serikali

Serikali inayowaza kukopa kila wakati kuishiwa ni jambo la kawaida, kukopa kukizidi hata kwa individual person humuacha kwenye hali mbaya zaidi kiuchumi, kukopa ni kujidumaza kifikra.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Wale walioiehiwa Hadi miradi kukwama na kuanza kupora watu pesa na kubambikia kesi unawaambia nini?
 
Hili ni kweli hazina kumekauka kau miradi haina pesa licha ya mafungu ya bajeti kupitishwa wakandarasi wengi wanalia njaa toka mwaka jana hakuna malipo ukifanya kazi na Serikali kwa sasa yakupasa uwe makini sana vinginenvyo kama ungaunga mwana hakika unafunga biashara. Sio Tanroads wala Tarura kote ni vilio
Mama alikuta hao Wakandarasi Wana Madeni ya miaka 3 Hadi 4 ya Mwendazake,akawalipa wote na Sasa kazi zinaendelea.

Kilichotatiza Kwa Sasa ni Mafuriko kila pande ya Nchi ndiko pesa imeenda na ndio maana hela za dharura zipo na wanaofanya hizo kazi ni Wakandarasi
 
Navyoandika hapa naelewa uhalisia wa mambo sio kwamba nimesimuliwa hakuna cha madeni wala nini pesa hazipo huo ndo uhalisia miezi 8 imekatika wakandarasi hawajalipwa kazi zilizofanyika mwaka jana hata wanaofanya kazi kwa sasa hakuna dalili za kulipwa huo ndo ukweli tuache siasa kwenye uhalisia.
 
Kwa hiyo pesa Huwa hazipo bila sababu au? Hizo za kukabiliana na emergency,za salaries,za Miradi nk zinatoka wapi?

Msululu wa meli unazoziona hapo Bandarini zinaleta nini kama sio pesa?

Get to know kwamba Kuna kulipa Madeni yaliyoiva na mambo ya msingi ikiwemo miradi mikubwa eg bwawa la Nyerere Hadi Sasa Serikali imelipa zaidi ya 5T out of 6.5T plus other malipo.

Hakuna mradi uliosimama licha ya Baadhi ya malipo.ya wakandarasi wadogo wa ndani kuchelewa na sababu ni hiyo kwamba pesa imeelekezwa kwenye dharula.
 
Mwaka wa fedha 2023/2024 ulianza July 2023 na mpaka leo February 2024 ni zaidi ya nusu mwaka. Habari zilizopo ni kuwa

1. Wakandarasi walioshida zaburi na kusaini tangu September mwaka jana mpaka leo hakuna aliyelipwa hada Advance hivyo wengi wamesimamisha kazi.

2. Wakandarasi wengine wengi wameshinda zabuni lakini mpaka leo february toka October na November hawahasaini mikataba ya kuanza kazi hivyo hakuna kinachofanyika

3. Wakandarasi wa miradi mikubwa hao ndio wameambiwa wasubiri hadi July 2024 yaani mwaka mwingine wa fedha na wao wameamua kusitisha kazi mfano ni Yepi Markenz.

Kwa kifupi serikali ya Mama Samia haijatekeleza mradi wowote wa ujenzi katika mwaka wa fedha 2023/2024.

Swali ni Je?
1. Bajeti ya Ujenzi iliyopitishwa imeelekezwa wapi?

2. Au tayari wameamua kwenda kuilipia madeni ya mikopo iliyoiva kumbuka maneno ya mama mwenyewe kuwa huwa wanakaa na Mwigulu ni ku re allocate badget.

Serikali itupe majibu kuwa kwa mwaka wa fedha 2023/2024 imetekeleza mradi gani wa ujenzi? either mpya au routine maintanance?
Kulipa mikopo ni wajibu wa Serikali Hadi Leo hii tunalipa mikopo ya enzi za Mwalimu.

Pili ukisema hakuna kazi zilizotekeleswa za ujenzi ni uongo naweza kukupa kazi

Malipo kuchelewa hayajaanza Leo Wala Jana na kama Kuna wakandarasi wameambiwa wasisaini mkataba ni vizuri Kwa sababu hakuna sababu ya kuanzisha deni jipya wakati Bado unadaiwa.

Mwisho hakuna mradi uliosimama
 
Inasikitisha sana. Huku mitaani mzunguko wa hela ni hamna kabisa. Mzunguko wa hela kwa wananchi ni mpaka pale Serikali inapoachia fedha zitoke kutokana na malipo mbalimbali.
Kwani pesa Huwa zinazungukia wapi? 😁😁

Saizi tuu huko Kuna maelfu ya Ajira yametangazwa,na Kila mwezi Serikali inaajiri watu Wapya na kuwalipa wastaafu.

Mwisho saizi ni masika shughuli nyingi hupungua ingawa sio zote.

Ulisema hakuna pesa wakati makusanyo yanapatikana hueleweki Mzee👇👇

View: https://www.instagram.com/p/C2HQBv6N1SL/?igsh=OTMyMnBqM293YWw3
 
Na bado...mpaka waseme!

Huku mitaani nako hali ya ukusanyaji kodi ni 'tia maji tia maji'...ile kaulimbiu ya "ukiuza toa risiti na ukinunua dai risiti" utekelezaji wake kama vile umejifia baada ya kukosa wafuatiliaji.
Bila ukusanyaji mzuri wa kodi serikali itafilisika.
Hangaya hana habari...yeye ni anga kwa anga.
Lakini si wemesema wanakusanya 3tr kwa mwezi wakati zamani ilikuwa ni 1.5tr?
 
Hili ni kweli hazina kumekauka kau miradi haina pesa licha ya mafungu ya bajeti kupitishwa wakandarasi wengi wanalia njaa toka mwaka jana hakuna malipo ukifanya kazi na Serikali kwa sasa yakupasa uwe makini sana vinginenvyo kama ungaunga mwana hakika unafunga biashara. Sio Tanroads wala Tarura kote ni vilio
Hivi,kama mkandarasi analamba penalty acheleweshapo kumaliza kwa wakati, serikali yenyewe ikinshindwa kutiza wajibu wake kama ulivyo mkataba, inakuwaje!
 
Lakini si wemesema wanakusanya 3tr kwa mwezi wakati zamani ilikuwa ni 1.5tr?
Hao ni wazèe wa data za mchongo.
Uhalisia wa kazi kikawaida unaonekana kwa matendo na sio maneno.

Kama kweli wanakusanya basi walipe wakandarasi nchi iendelee.
Vinginevyo itakuwa ni porojo au wanakusanya na kuzipiga kisawasawa.
 
Pesa zinaenda Zanzibar , mpaka semina za Mambo ya madini ambayo Zanzibar hawana zinafanyikia huko. Huku tunapewa mitozo, sukari tunanunua Bei kubwa wenzetu wanafaidi jasho letu.
 
Nchi ya contradictions....

Huku TRA inatangaza kuvunja rekodi ya mapato, huku wanaoidai serikali hawalipwi!
 
Mwaka wa fedha 2023/2024 ulianza July 2023 na mpaka leo February 2024 ni zaidi ya nusu mwaka. Habari zilizopo ni kuwa

1. Wakandarasi walioshida zaburi na kusaini tangu September mwaka jana mpaka leo hakuna aliyelipwa hada Advance hivyo wengi wamesimamisha kazi.

2. Wakandarasi wengine wengi wameshinda zabuni lakini mpaka leo february toka October na November hawahasaini mikataba ya kuanza kazi hivyo hakuna kinachofanyika

3. Wakandarasi wa miradi mikubwa hao ndio wameambiwa wasubiri hadi July 2024 yaani mwaka mwingine wa fedha na wao wameamua kusitisha kazi mfano ni Yepi Markenz.

Kwa kifupi serikali ya Mama Samia haijatekeleza mradi wowote wa ujenzi katika mwaka wa fedha 2023/2024.

Swali ni Je?
1. Bajeti ya Ujenzi iliyopitishwa imeelekezwa wapi?

2. Au tayari wameamua kwenda kuilipia madeni ya mikopo iliyoiva kumbuka maneno ya mama mwenyewe kuwa huwa wanakaa na Mwigulu ni ku re allocate badget.

Serikali itupe majibu kuwa kwa mwaka wa fedha 2023/2024 imetekeleza mradi gani wa ujenzi? either mpya au routine maintanance?
Serikali unayotapanya pesa lazima iishiwe
 
Sasa naelewa kwa nini mchina wa SGR Lot 5 (CCECC) shughuli zimepungua sana siyo kama mwanzo.

Hiyo miji yenye kambi za ujenzi jirani uhalifu upo juu sana kwa sasa Howo zimepungua site.
 
Back
Top Bottom