Sio kwamba hataki demokrasia, ukweli ni kuwa haiwezi. Ni kama anavyojifanya anakienzi kiswahili, ukweli ni kuwa lugha ya kiingereza inampiga chenga kuiongea kwa ufasaha. Hata sasa analitumia jeshi kwakuwa jeshi pia linadhani lina wajibu wa kuhakikisha rais aliyeko madarakani ana haki ya kushinda uchaguzi yeye na chama chake. Hiyo 2020 analitegemea jeshi na vikundi vya kihalifu kuhakikisha anatangazwa mshindi kwani hana uwezo wa kushinda kwa ushawishi.
tindo nitaendelea kutofautiana na wewe, siyo kwa hoja, ila kwa mtazamo wako chanya na uliojaa chuki dhidi ya Rais Magufuli, Serikali na Chama Tawala.
Hakuna hata mara moja umejadili kwa hoja zaidi ya kebehi na kejeli. Niamini ndiyo kiwango chako cha kushiriki majadiliano?
Isitoshe sijapata kusoma mada yako yoyote yenye kuleta mjadala kuhusu upande wa wanasiasa unaowawikilisha humu JF, ili tikashirikishana kupanua uelewa wa uwezo wa upande huo kuongoza nchi.
Nikirejea kwenye majibu yako:
Wasema kwamba:
1) Ni kama anavyojifanya anakienzi kiswahili, ukweli ni kuwa lugha ya kiingereza inampiga chenga, najiuliza kujua kiingereza ni msingi wa nini?
2) Sio kwamba hataki demokrasia, ukweli ni kuwa haiwezi[/[], je, demokrasia kwako maana yake ni nini na inatekekezwaje?
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha ujuha wewe! Fatilia kuhusu Rais George H.W. Bush (Bush Mkubwa) mbna alikuwa Rais wa muhula mmoja!
Shida ipo huku Dunia ya tatu, baada ya Mungu anayefata ni Rais.
Sio kwamba hataki demokrasia, ukweli ni kuwa haiwezi. Ni kama anavyojifanya anakienzi kiswahili, ukweli ni kuwa lugha ya kiingereza inampiga chenga kuiongea kwa ufasaha. Hata sasa analitumia jeshi kwakuwa jeshi pia linadhani lina wajibu wa kuhakikisha rais aliyeko madarakani ana haki ya kushinda uchaguzi yeye na chama chake. Hiyo 2020 analitegemea jeshi na vikundi vya kihalifu kuhakikisha anatangazwa mshindi kwani hana uwezo wa kushinda kwa ushawishi.
afanye kampeni za nini wakati Ana control vyombo vyote vya utawala,kisheria,time ya uchaguzi,bunge tusidanganyane 2020 hakuna uchaguzi ni uchaguzi na maauwaji kwa wataokataa kusarenda.Kwa yoyote mwenye kufuatilia mienendo ya kisiasa na kiserikali atakubaliana na mimi kwamba Magufuli siyo mpenzi kihivyo wa demokrasia. Hili siyo tusi wala lawama, ni mtazamo wangu kuhusu mtazamo wake! Na hata yeye mwenyewe anasemaga mara kwa mara kwamba demokrasia inatuchelewesha!
Siku baada ya siku ameonekana kuegemea upande wa taasisi ya jeshi hadi kufikia kusuggest timu ya taifa itoke Jeshini. Hizi siyo kauli ya kubeza, anaamini kabisa kuwa ndiyo suluhisho la matatizo yetu yote. Huu ni mtazamo wake ambao unajadilika (kama tutaruhusiwa kujadili!)
Katika tafakari yangu namuona pia kama ni mtu ambaye hata madaraka aliyonayo angependa ayapate kwa njia nyingine ukizingatia kama nilivyotangulia kusema, siyo mfuasi mkubwa sana wa mfumo wa demokrasia.
Nakumbuka 2015 siku ya mwisho ya kampeni kule Mwanza, Kikwete alionekana kama anampandisha mori achangamke (tafuta clip wakati Kikwete anampa nafasi ya kuongea). Toka hapo amekuwa na miaka 5 ya kujizatiti kufikia ndoto yake ya kupata madaraka na kuongoza kwa mfumo alio comfortable nao zaidi.
Huwa siyo rahisi kumshinda Raisi aliye madarakani katika uchaguzi (incumbent President) hata awe ameboronga kivipi. Ni kazi ngumu sana hata kwenye nchi zenye demokrasia iliyokomaa. Nikitumia maneno ya kiingereza ambayo sidhani kama naweza kupata tafsiri sahihi naweza kusema 'the election is his to lose'.
Sitashangaa mwakani akiwatuma wengine wakafanye kampeni huku tukaambiwa yeye ana majukumu muhimu zaidi.
Baada ya hapo chacha!
Kwani Africa hakuna wa muhula 1? Jonathan wa Nigeria, Rupia wa Zambia, John wa Ghana, etcAcha ujuha wewe! Fatilia kuhusu Rais George H.W. Bush (Bush Mkubwa) mbna alikuwa Rais wa muhula mmoja!
Shida ipo huku Dunia ya tatu, baada ya Mungu anayefata ni Rais.
Mkuu una moyo mkubwa, maswali yenyewe tu yanaonesha yamekaa kijinga jinga, imagine huyo puga anayeuliza yukojeNashukuru umerudi, nilijua kwa kile nilichokuambia jana ungerudi, na huu utetezi wako umejikita kwenye kile nilichokuambia jana. Kwangu mtu yoyote asiyeheshimu mifumo ya demokrasia hata afanye zuri gani hawezi kupata sifa toka kwangu. Hata akifanya jambo jema huwezi kuniona namsifia sana sana nitakaa kimya. Ninajua uko biased hivyo sitegemei uone mchango wangu wowote wa maana, hilo sio kosa langu ni juu ya udhaifu wako.
1. Kiingereza ni moja kati ya lugha zetu 2 kuu za Taifa. Yeye ameonyesha hataki kutumia kiingereza bali anakienzi kiswahili. Je kuchomeka maneno ya kiingereza kwenye hotuba zake kuna mantiki gani kama lengo ni kukienzi kiswahili?
2. Demokrasia yetu iko mpaka ndani ya katiba na vyama vya siasa vipo kisheria, inakuwaje azuie kazi halali za vyama vya siasa nchi nzima huku chama chake kikifanya kwa uwazi na kificho?
Suala la uchaguzi, ni dhahiri chaguzi zetu hasa toka awamu yake hii, box la kura haliheshimiwi na yote haya ni kutokana na mitazamo yake dhidi ya demokrasia.
Sawa mwambie ben saanane yuko wapi na PhD yake feki bado anaitumia?Sema usemavyo, mdhihaki unavyojua na mchukie uwezavyo ila Kikatiba na Kimamlaka Dkt. John Pombe Joseph Magufuli huyo ndiye Rais wako wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi yote ya Ulinzi na Usalama nchini. Nimemaliza.