secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 15,167
- 28,205
Ngoja nikutafutie soko huku Sri Lanka.Nitafutie oda zaidi
Ngoja nikutafutie soko huku Sri Lanka.Nitafutie oda zaidi
Hayo ndio mambo kabisaNgoja nikutafutie soko huku Sri Lanka.
Hawa jamaa wanaopenda nguruwe sana, sijui kama unawatengenezaHayo ndio mambo kabisa
Na napika na kuwachanganyia na mboga za majaniHawa jamaa wanaopenda nguruwe sana, sijui kama unawatengeneza
Mkuu mimi sitafuti utajiti, natafuta hela itakayonifanya niwe huru.Chakalika chakalika,,,ongeza hustle. Afu acha kuwaza kuwa tajiri. We tafuta tu pesa
Kuna jirani yangu mmoja juzi nilimkuta anakula pua ya nguruwe nilivyosalimia hata hakusika salamu, alibaki kuilamba lambda midomo mpaka nikashangaa.Na napika na kuwachanganyia na mboga za majani
Dah...Kuna jirani yangu mmoja juzi nilimkuta anakula pua ya nguruwe nilivyosalimia hata hakusika salamu, alibaki kuilamba lambda midomo mpaka nikashangaa.
Ni ajabu na kweli.Dah...
Uramu ulimkoleaKuna jirani yangu mmoja juzi nilimkuta anakula pua ya nguruwe nilivyosalimia hata hakusika salamu, alibaki kuilamba lambda midomo mpaka nikashangaa.
Hahaha 😂 mbuzi katoliki ni mtamu Sana jamani. Uarabuni ni chakula pendwa.Uramu ulimkolea
Nakupa kutoka kitabu kingine kinachohusu La cosa nostra:"In every Great fortune there is crime"Balzac. Anyway mleta mada , kasome riwaya ya the Godfather iliyoandikwa na Mario puzo. Huko utakutana na mwamba mmoja anaitwa Vito Corleone . Unaweza kupata sehemu ya jibu ya swali lako kuhusiana na dhana ya utajiri wa halali au haramu.
Hautapata kazi ukipenda unachofanyaNajitahid kutafuta sema hizi njia za uhalali kama ngumu hv 😆
SafiUtajiri wa Kihalali uko.
Sema unahitaji uwe na SUBIRA.
Haupatikan kwa haraka haraka kama Jinsi Vijana wanataka. It take YEARS of dedication and commitment.