shalet
JF-Expert Member
- Feb 12, 2013
- 3,440
- 3,606
Habari wakuu,
Kati ya vitu ambavyo nimekuwa nikipenda kujua ni hii kitu inaitwa faith healing au uponyaji kwa njia ya maombi kama haya maombi yanayofanywa na akina mzee wa upako, je ni kitu halisi na inafanya kazi? , mara nyingi nimehudhuria makusanyiko ya injili au crusade wakidai wagonjwa na wenye shida wataombewa ila mwisho wa siku sioni aliyepona je kama haifanyi kazi kwanini wahubiri bado wananadi faith healing?, mbaya zaidi kuna hadi wanaodai kiwango fulani cha pesa ili wakuombee tatizo lako kama vile unavoenda muona daktari naomba kujua hii kitu inafanya kazi au ni utapeli wa walokole.
Una ndugu au wewe mwenyewe ushawahi fanyiwa faith healing? ilikuwa ni tatizo gani na ulijuaje ni maombi yamefanya kazi.
ahsanteni..