Kazwala mkuu
JF-Expert Member
- Jul 2, 2016
- 1,034
- 2,249
Kirungu kinataka kutembea bila shaka!
naona kama mkono umelegea ghafla. ataweza kurusha hata kirungu kimoja hapo kweli?
Hata macho yamelegea, mate anameza kwa mbaaali!! Papuchi kitu kingine wewe acha kabisanaona kama mkono umelegea ghafla. ataweza kurusha hata kirungu kimoja hapo kweli?
Macho lege lege ah! kawa bwege....naona kama mkono umelegea ghafla. ataweza kurusha hata kirungu kimoja hapo kweli?
Maana afande ameshashikiwa akili na kichwa cha chini.Hapo lazima atoe penzi motomoto
Ingekuwa ni dume hapo ingekuwa tayari magoti yanavuja damu kwa virungu.Pale dhana ya mwanamke anapigwa na kipande cha kanga inaposhika hatamu
Mambo yameshakuwa mazito, waswahili wanasema maji yamezidi unga.Naona kama jamaa kisiwa cha kisimayu kinaongezeka ukubwa ghafla
Kweli unae dhani ndiye kumbe siye.Usalama upo,hao walinzi ndio wanaotoa 'gesti' ya short time kwa malipo
Ingekuwa ni dume hapo ingekuwa tayari magoti yanavuja damu kwa virungu.