Mtoto wa Baba JF-Expert Member Sep 1, 2018 3,123 4,020 Mar 10, 2024 #41 Nazi ni tamu ila Kuna wataalamu wanasema inapelekea magonjwa ya moyo na presha, pengine kwa sababu ya kuwa na mafuta mengi. Wenye utaalamu watufafanulie zaidi tafadhali.
Nazi ni tamu ila Kuna wataalamu wanasema inapelekea magonjwa ya moyo na presha, pengine kwa sababu ya kuwa na mafuta mengi. Wenye utaalamu watufafanulie zaidi tafadhali.
Grahams JF-Expert Member Mar 19, 2016 11,803 36,337 Mar 11, 2024 #42 Aaliyyah said: Hatari sana hapo kwenye majani ya kunde alafu ukute samaki kaungwa Nazi achilia maharage yaungwe Nazi alafu yalale😀😀 Click to expand... Umefanya njaa ianze kuniuma asubuhi yote hii 😋
Aaliyyah said: Hatari sana hapo kwenye majani ya kunde alafu ukute samaki kaungwa Nazi achilia maharage yaungwe Nazi alafu yalale😀😀 Click to expand... Umefanya njaa ianze kuniuma asubuhi yote hii 😋