kuna umuhimu wowote hapa

mathsjery

JF-Expert Member
Sep 26, 2015
2,208
1,755
je kuna umuhimu wowote wa hawa watengenezaji wa laptop kuweka touch screen kwenye laptop hizo. au ni poor design ambayo hawaifikirii ? je wao wanajali soko tu na sio design nzuri pia.
kwa mtazamo wangu naona haina maana haswa kwa zile ambazo ni touch lakini haiwezekani kuchomoa monitor ,wewe
unasemaje?
 
inategemea inaenda tumika wapi hio laptop, kuna maeneo touch screen inapendeza zaidi kama.

1. point of sale, sehemu kama supermarket au maduka makubwa ambapo wanatumia software za touch rahisi

2. designers na graphics artist, sema hapa inabidi pia kuwe na support ya kalamu kama wacom

3. kuandikia notes hasa darasani, hapa utahitaji pia kalamu.

4.presentation etc

na kuna laptop hazichomoki kuwa tablet ila zinakunjuka na kujikunja vizuri zinakuwa na 360° hinge hizi pia unaweza zitumia kama tablets.

360-Hinge-Operation.jpg
 
NIMEKUPATA MKUU
 
Back
Top Bottom