Amefanya nini tena huyu mama wa watu?
Hapana, ni LLB (ya kubangaisha - ninajua alivyoipata !)Da Sophie ana LL.M kutoka UDSM. Chezea yeye wewe?
Hapana, ni LLB (ya kubangaisha - ninajua alivyoipata !)
Kwani wao ni mawaziri mbona hata wewe hizo kufuli zako zilizosiga kwenye mfereji wa masaburi zinajulikanaumetaja wa chama kimoja tu je wale wa chama cha maandamano unawahifadhi kwa faida ya nani? Hadi rangi ya kuvuli zao tunaweza kukutajia anayovaa Jumatatu hadi Jumapili
ameanza km secretary ni kwel kisha akajiendeleza akasoma certificate in law udsm,akajiendeleza tena kwa kusoma advanced diploma in women law na masters of science in community devl ktk chuo cha hemphshire college of usa.ukitaka ukweli angalia kwenye cv za wabunge.taarifa hz zipo kwenye bunge website.lecturers wake ni pamoja na prof shirji,fimbo na shaidi.hv mnajua hata prof alianzia na u secretary badae akajiendeleza?jaman no reserch no right to speak.jaman tuwe wasomi.
hana mume ana mtoto mmoja wa kiume alimzaa na jamaa mmoja mpigania uhuru wa ANC kutoka South Africa kipindi wako na kambi Moro
mhe mama sophia simba ni mtetezi no.1 kwa wanawake na amekuwa akifanya hvyo tokea akiwa wizara ya utawala bora,kwanza ni msomi aliyepata stashahada ya sheria ni ni mwanamke anayereta ukomboz kwa wanawake..km kuna mengne jamani semeni mhe sophia simba kuzaliwa mjini isiwe shida jamani..
Mmhh, shida yoyote!!Kama unamtamani mama wa watu tukupe namba yake. Thread yako imejaa mapenzi ni kama unaona wengine wanafaidi. Mpigie kwa namba 075475902 anapokea simu ya kila wananchi wenye shida atakusikiliza shida yako
Da Sophie ana LL.M kutoka UDSM. Chezea yeye wewe?
Sasa ilikuwaje akaogopa interview (Usahili) wakati anagombea ubunge wa SADC? Kwa kuwa interview iliyokuwa inafanywa na wabunge wenyewe ilikuwa inaendeshwa kwa lugha ya kiingereza, mama akaingia mitini na still akapewa huo ubunge........hiyo ndiyo Tanzania.
mhe mama sophia simba ni mtetezi no.1 kwa wanawake na amekuwa akifanya hvyo tokea akiwa wizara ya utawala bora,kwanza ni msomi aliyepata stashahada ya sheria ni ni mwanamke anayereta ukomboz kwa wanawake..km kuna mengne jamani semeni mhe sophia simba kuzaliwa mjini isiwe shida jamani..