andjul
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 19,285
- 121,369
Nikajua mimi nimefanya udikteta,simu yangu ni kwa mawasiliano ya shule, kama ni mawasiliano na rafiki zao ni kwa simu ya mama yao.Kila mtu alee mtoto wake.
Lakini binafsi mimi wanangu huwa wanaanza kumiliki simu baada ya kumaliza form six chini ya hapo atatumia yangu.
Muda unapofika wa chuo ndipo wanakutana na simu ya kununuliwa au kumvua mama yao.