Mbona kitisho kidogo hichokuna jamaa leo kanitongoza kishamba sana .eti anadai jana aliniona .nikamuuliza wapi akaniambia sehemu flani nikamuuliza mimi akasema ndio tena nilikuwa nimevaa nguo hizohizo .nimemind vibaya kweli nivae nguo moja jana na leo jamani? amenipigia simu hapa sijapokea nimemtumia sms ukome kumpigia mke wangu simu
ha ha ha ha ha ha! umetisha mkuuMmmmh, mpaka kojoleo lishindwe kusimama ndio nahisi nitapumzika kutongoza..!!!
Aisee usi stop... hadi na mie nipige sound.Na uzee wangu bado natongozeka!
Mkuu kuna Uzi flan unaofanana huu na uliongea jambo linalofanana na hili. Duu kwa iyo miss wewe utbaki hivo had lini labda.kuna jamaa leo kanitongoza kishamba sana .eti anadai jana aliniona .nikamuuliza wapi akaniambia sehemu flani nikamuuliza mimi akasema ndio tena nilikuwa nimevaa nguo hizohizo .nimemind vibaya kweli nivae nguo moja jana na leo jamani? amenipigia simu hapa sijapokea nimemtumia sms ukome kumpigia mke wangu simu