Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 28,122
- 52,884
soma vizuriConfusing ! Umesema umemwambia ukome kumpigia mke wangu simu? Au sijasoma vizuri ulimaanisha nn ikiwa wewe ni ke?
soma vizuriConfusing ! Umesema umemwambia ukome kumpigia mke wangu simu? Au sijasoma vizuri ulimaanisha nn ikiwa wewe ni ke?
ha ha ha mkuu kuna ile mtu kakutana nawe njiani asubuhi anakutongoza au mpo kwa ice kakubinya anakutongoza au umetupia pc yako imemvuta kakutongoza ukitupia pc chafu nae humuoniyaani kuna kitu kaniudhi siwezi kuandika hapa ila sijui nishazeeka kwa kweli sitongozeki tena kirahisi
[emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144]hivi na nyie zile nyimbo za kutongozea au kujibiwa miyongozo mmezikalili hamjazichoka? kila siku.
So if his approach would have been so nice, muda huu relation status yako ingeshabadilika.kuna jamaa leo kanitongoza kishamba sana .eti anadai jana aliniona .nikamuuliza wapi akaniambia sehemu flani nikamuuliza mimi akasema ndio tena nilikuwa nimevaa nguo hizohizo .nimemind vibaya kweli nivae nguo moja jana na leo jamani? amenipigia simu hapa sijapokea nimemtumia sms ukome kumpigia mke wangu simu
Alikuwa anampiga bit mtongozaji kwa act as a manConfusing ! Umesema umemwambia ukome kumpigia mke wangu simu? Au sijasoma vizuri ulimaanisha nn ikiwa wewe ni ke?
ahaaaaaa yes nimemuivaluate tupo tofauti kabisa sijataka negotiation yoyote tupa kule mapemaSo if his approach would have been so nice, muda huu relation status yako ingeshabadilika.
The earlier the better.ahaaaaaa yes nimemuivaluate tupo tofauti kabisa sijataka negotiation yoyote tupa kule mapema
kweli kwanini usitesite? sitaki stress mkuuThe earlier the better.
Dhuuu!!!jamaa alikua anatongozakuna jamaa leo kanitongoza kishamba sana .eti anadai jana aliniona .nikamuuliza wapi akaniambia sehemu flani nikamuuliza mimi akasema ndio tena nilikuwa nimevaa nguo hizohizo .nimemind vibaya kweli nivae nguo moja jana na leo jamani? amenipigia simu hapa sijapokea nimemtumia sms ukome kumpigia mke wangu simu
Kumbe unadharau hivo basi lazma nkutongozehabari za usiku wana Jf.
samaha juujuu mpaka nilichoitiwa siambiwi au akiniambia naitikia inabidiaanze upya.
sasa huwanajiuliza huwa kuna mda unachoka kucare au kutongozwa /tongoza?
daaaaaah nimekuelewa vizuri mkuuuu tupo wengi aseeee kumbe hata wew malengo yakichelewa haya mengine unapuuza ee?Well said.yaani nnavyopuuzia mpaka girls wanapaka kusema naringa..kumbe sinaga attention nao,Mimi mwenyewe sijui,kama wale wamapozi 00.0001% ndio wanakoma.futa ata namba kabsa.binafsi kila mwaka najiwekea malengo ivyo kama sijayafikia au kuna ugumu inabid nitumie extra energy kufikia hivyo mambo mengine,nayaona hayana tija kabsa.
tupo wengi uzee ukiingia unakuwa mbinafsi sanadaaaaaah nimekuelewa vizuri mkuuuu tupo wengi aseeee kumbe hata wew malengo yakichelewa haya mengine unapuuza ee?
nilitaka niandike hilo jambo ila nikahofu nitaumbuliwa humu.
ila kwakuwa umejitokeza walau tupo wawili nimepata mwanga kifogo.
malengo ya kichelewa vingi tunapuuza.
unamshangaa mtongozaji . yaani mimi wala siwagi sirias siku hiziUpo aisee
Yaani inafika kipindi kutongozwa kunakera.