manake nini jamanikwasababu ulikuwa mchumia juani? ha ha ha
Sasa kama sio dharau nn??ha ha ha zarau tena?
Wacha matata wewekuna jamaa leo kanitongoza kishamba sana .eti anadai jana aliniona .nikamuuliza wapi akaniambia sehemu flani nikamuuliza mimi akasema ndio tena nilikuwa nimevaa nguo hizohizo .nimemind vibaya kweli nivae nguo moja jana na leo jamani? amenipigia simu hapa sijapokea nimemtumia sms ukome kumpigia mke wangu simu
kumbe ni wewe? tena unikomeWacha matata wewe
Twambie basi na wewe.... Ehe kakwambiaje?yaani kuna kitu kaniudhi siwezi kuandika hapa ila sijui nishazeeka kwa kweli sitongozeki tena kirahisi
tatizo kaka zetu hata kutongoza hamjuiTwambie basi na wewe.... Ehe kakwambiaje?
Miss natafuta nije PM unione kama sijui kutongozaaa[emoji13] [emoji13]tatizo kaka zetu hata kutongoza hamjui
Wewe unatakiwa utongozwe kisaikologia.kuna jamaa leo kanitongoza kishamba sana .eti anadai jana aliniona .nikamuuliza wapi akaniambia sehemu flani nikamuuliza mimi akasema ndio tena nilikuwa nimevaa nguo hizohizo .nimemind vibaya kweli nivae nguo moja jana na leo jamani? amenipigia simu hapa sijapokea nimemtumia sms ukome kumpigia mke wangu simu
Bora uwe hivyohivyo mapenz hayana mana kabisaamkuu mimi nahisi na mahangaiko ya kusaka pesa yanachangia kupuuza hivo vitu maana kama umri wa kuyachoka kwangu baado sana
tatizo IGNORE inanisumbua.
Ha ha ha ha ha ha ha ha hakumbe ni wewe? tena unikome
Hahaaaa basi sikutongoz tena maana nahis hutongozekinakuzarau wew uliye nitongoza kizarau ilasinaga tabia ya dharau kwa watu.
Kumbe tatizo ni hilo.... Ha ha ha ha.tatizo kaka zetu hata kutongoza hamjui
sasa mtu unakuja kunitongoza mzoefu kama mimi kidhaifu dhaifu huna sera huna hojaKumbe tatizo ni hilo.... Ha ha ha ha.
Aisee, me ukinitukana ndo napata mzuka wa tongozokwanza siku sijui matusi yanatoka wapi unipotezee muda wangu kunitongoza naweza nikakupa booonge la tusi