Acha kusoma sasa…
wanasema kama ujinga ni mtaji hebu jaribu...
uwezo wake wa kusoma na kuandika ndio umemfanya aweze hata kuandika hapo lakini bado anapiga majungu kuwa elimu haifai...
hii ni kweli kabisa....
Mbona wasomi wengi ndio wanaiharibu nchi wamekalia ujizi tu
Halafu matajiri wengi duniani sio watu wa vidato-na wanawaajiri watu waliobobea kwenye fani mbalimbali!!
unamkusudia nani hapa, mbona Mengi kaenda vidato?