CHIEF PRIEST
JF-Expert Member
- Dec 13, 2021
- 21,435
- 42,168
Bado, siku wakijitambua na tukapata vijana wazalendo kama Captain Ibrahim Traore wa Bukina Fasso ndiyo mwisho wa hili genge la wahuni wanaojiita Chama Cha Mapinduzi.Kama nikweli basi wameanza kujitambua.