Kuna ukweli wowote?

Kuna ukweli wowote?

Lkn kuandamana si kosa.
Maandamano ni haki ya kila raia, lakin ni jinai au kosa kubwa maandamano hayo yanapobadilika na kuwa chanzo cha kuvunja haki za wengine..kama vile kuvamia maduka, kuchoma vituo vya mafuta, magari pkpk na nyumba za watu..
Hali hyo hubadilika na kuwa uvamizi, hapo sasa lazima uone ukurasa wa pili wa vyombo vya ulinzi.
 
Hii ni mwanza, watu walienda kuvamia kiwanda cha magodoro eneo la machinjioni, wakavunja geti wakaingia ndani, kuna baadhi wakachomoa waya ya gesi, ikalipuka, aisee watu makumi na makumi waliungulia humo
Lile tukio la wale 12 waliouawa kibanda umiza walikutwa wanaangalia game ya Arsenal hapo Mwanza uliliona?
 
Lile tukio la wale 12 waliouawa kibanda umiza walikutwa wanaangalia game ya Arsenal hapo Mwanza uliliona?
Tupo mwanza tulilifahamu, ni kata ya isamilo, mjimwema pale tarazo..
Lakini kwenye magodoro ni zaidi ya watu 50 waliungulia humo
 
Kwamba watanzania ni wajinga sio yaani maandamano yahamasishwe miezi 5 watu wasiingie barabarani mpaka watu wawili wake kuwaambia
 
Hii ni mwanza, watu walienda kuvamia kiwanda cha magodoro eneo la machinjioni, wakavunja geti wakaingia ndani, kuna baadhi wakachomoa waya ya gesi, ikalipuka, aisee watu makumi na makumi waliungulia humo

watu weusi ni wajinga sana
 
Kuna akili inaniambia ni kafala lilikuwa limeandaliwa na huyu shetani aliombwa idadi kubwa sana ya watu ndo maana alimua kuwafata watu hadi majumbani

Mfano katoro na Geita,watu walikuwa hata hawana huo mzuka mara ghafla pakanuka na pakanuka haswa hasa hasa geita

Katoro watu walikuwa wametulia jamaa mmoja akajipitisha na baiskel ya mitano tena na kuanza kuwazingua watu kwa kuwaoneshea ishara ambazo sio ndo pakanuka

Geita watu wameingia barabaran jioni ya tarehe 29

Kwanza huu ujasiri umetokea wapi!,aiseee uchawi upo ni watu walikuwa wamepandishwa mapepo

Kwenye godown la magodoro waandamanaji wakajipiga moto wao wenyew

Mkuu hili Joto la maandamano, Limebebwa toka kwa mwenda zake.

Watu wamebeba visasi na visasi mpaka sasa.

Watu hawasahau, huoni zanzibar wanasherehekea kisasi chao cha 2000 keo baada ya miaka 25?

People never forget when u piss them off.

Hata haya mauaji polisi watakuja tu kuyalipa hatakama ni baada ya miaka 50
 
, TCRA wanaujua ukweli wakiamua kufatilia mawasiliano ya hizo siku nchi nzima tutakuwa wahaini,
hapa kuna kada wa CDM alikuwa akipiga simu anasema bonyeza 5 na wa kule naye anamwambie abonyeze 5, ni IT kumbe wana jinsi ya kublock wasifatiliwe bwana namm nikawa naminya hiyo 5 nafunguka kama aljazeera!😂
 
Kuna ukweli wowote hapa wakuu hii nimekutana nayo leo kwenye comments kwenye uzi wa Buyobe

Kwamba kuna watu walikuwa wanapita hasa kwenye maeneo yaliyopoa kuwaamsha watu waingie road ila wao walikuwa hawaguswi wala kukamatwa

View attachment 3498550
Pathetic theory, ameshindwa hata ku prove

Mkoa x , walitoka washkaji ambao wanajulikana wakaanziasha moto

Hiyo theory anaanzisha ni kujaribu ku twist reality
Tell him atunge story mpya
 
hapa kunqkada wa CDM alikuwa akipiga simu anasema bonyeza 5 na wa kule naye anamwambie abonyeze 5, ni IT kumbe wana jinsi ya kublock wasifatiliwe bwana namm nikawa naminya hiyo 5 nafunguka kama aljazeera!😂
Hiyo nilikuja kuijua badae nimeshamwaga shangwe la kutosha, kumbe 5 ndo block yao
 
Kuna mkoa wanajeshi walipita kushawishi raia waandamane kuwa watawalinda. Hata Dodoma pia.

Kumbe ni majoka ya kibisa jeshi zima makanali uchwara. Jeshi gani linatwekwa na Mafwele na kuchapwa viboko matakoni.
Songea, Njombe.
 
Mwanza😭 viwanda vimelipuka hivi na bado wanafanya doria ya kusaka magodoro yao wametangazia wananchi kuyarudisha kuwa wameonekana kwenye camera! Ole wake ukutwe nalo ndani na risit huna!!

watu weusi ni manyani waliochangamka. Inasikitisha sana
 
📢 TANGAZO LA KAZI – HORIZON INSTITUTE 📢

Horizon Institute inafungua nafasi za kazi katika kozi mbalimbali za kuelimisha! Ikiwa una ujuzi au shauku ya kufundisha, hii ni fursa yako ya kuunga mkono jamii ya wanaojifunza.

🌟 Maeneo ya Kazi Yanayopatikana:

🗣 LUGHA ZA KIGENI
✅ English
✅ French
✅ German
✅ Kitaliana
✅ Russian
✅ Romanian
✅ Spanish
✅ Arabic
✅ Kiswahili
✅ Chines

💻 KOZI ZA COMPUTER
✅ Computer Application
✅ Graphic and Design
✅ Video Production
✅ Air Fare and Ticking

🛠 KOZI NYINGINEZO
✅ Tour Guider
✅ Tuition of all level (Nursery mpaka Advanced)
✅ Cleaner Hotel Management
✅ Ususi
✅ Make Up (Upambaji)
✅ Uchoraji wa hinna na piko

⏳ Mwisho wa Kuwasilisha Maombi: 14/12/2025

🌐 Jinsi ya Kuomba:
Tuma ombi lako kupitia website yetu:
👉 Horizon Institute - Mfumo wa Maombi ya Kazi

📞 Kwa maswali au usaidizi, wasiliana nasi kupitia:
📞 0722 186 012
📞 0786 199 664
📧 Amani Magazeti Zanzibar
 

Attachments

  • ghost 2222.jpg
    ghost 2222.jpg
    146.6 KB · Views: 9
Back
Top Bottom