Kuna ukweli kuwa mapenzi hujengwa na ngono pekee?

MCHAWI WA MAISHA YAKO NI WEWE MWENYEWE


Halafu unawapelekesha hao mabwege kiboya kweli
Yaani mimi dada sikopeshi yaani PAPUCHI tu mpaka niwait until 3 to 6 month dada wahlahi siku nakutokea unaniambia hizo mambo wala sigeuki nyuma nachapa raba nalala mbele tz sio india

wino umekataa.....
Sawa big
 
Mimi nachouliza tu inamaana jimbo lipo huru? huu mwaka kweli wangu wanasiasa wao wakigombania huko majimbo nami nina langu hapa.

Hao wameshindwa kukushawishi tu mama usihofu mie nitaweza kukushawishi walau tuwe tunaonja mara moja kwa siku. Siunajua kulala kwa hadhira ni uzembe wa fanani?

naona upo ktk harakati za kuruka
 
Back
Top Bottom