Kuna ukweli kuwa mapenzi hujengwa na ngono pekee?

Mimi nachouliza tu inamaana jimbo lipo huru? huu mwaka kweli wangu wanasiasa wao wakigombania huko majimbo nami nina langu hapa.

Hao wameshindwa kukushawishi tu mama usihofu mie nitaweza kukushawishi walau tuwe tunaonja mara moja kwa siku. Siunajua kulala kwa hadhira ni uzembe wa fanani?

Ahaaaaaaaaaa
 
My dear pujo hakuna kitu kizuri duniani kama kujua nini unataka maishani mwako na kukisimamia kitu hicho,na hakuna kitu kibaya kama kushindwa kusimamia kitu unachokiamini hasa ikiwa kiko ndani ya maadili safi just kwa kuwa kuna mtu kakuinfluence uone mambo tofauti na unavyoyaamini

hivyo naomba nikupongeze kwa msimamo ulojiwekea na naomba nikusihi uendelee kuushikilia hivyo hivyo usiruhusu uathiriwe maamuzi uliyojiwekea na mu mwingine tena wakati maamuzi yako ni mazuri tu tena yanayozingatia maadili

huwa naamini ndege wafananao huruka pamoja,just chill my dear unayefanana naye atakuja tu,yule atakayekupenda for who you are na ambaye atakuwa tayari kukusubiria coz love is more than sex,sex inahitimisha zoezi zima la mapenzi ila before hiyo mengi yanahusika katika love

all the best mamie
 
Thanks

Habari zenu wana MMU ,nimekuwa msomaji mzuri wa thread za watu lakini leo naona na mie nilete duku duku langu ambalo linanitatiza kila uchwao.

Mwaka 2017 baada ya kuachana na aliyekuwa mpenzi wangu, niliamua kubaki peke yangu na kuielekeza akili yangu sehemu zenye maana zaidi katika maisha. Mwaka 2019 umekuwa ni mwaka ambao nimekuwa makini sana katika kuanzisha mahusiano na nikajikita zaidi katika dini na kuwa mkristo mzuri tu, nikaimarika zaidi.

Mwaka jana nimefuatwa na wanaume wengi tu wakitaka kuanzisha mahusiano na mie, nilikuwa naangalia sifa alizonazo na je ana hofu ya Mungu? Na kama ni muelewa? Wanapatikana lakini changamoto kubwa ni wanataka sex kabla ya mambo yote, ukizingatia mie sharti langu la kwanza hakuna kufanya mapenzi mpaka kwa kipindi fulani ambacho tutajipangia, wengi wa wanaume wanaokuja tunaishia njiani kwani wao wanakuwa hawawezi kukaa bila kufanya mapenzi. Na mie sikubali basi tunaishia kuachana tu, mpaka sasa nimechoka kuwa katika mahusiano tena.

Wanaume kwani kama umempenda mtu na una malengo naye kuna haja gani ya kufanya mapenzi kwanza? Au ndo nyie ambao mnataka kuonja then mtathimini kama linafaa au halifai? Halafu, kama kweli mnakuwa wakweli kwanini mtu anapokataa kutoa penzi kwa muda wa miez 3 na zaidi mnaondoka kimya kimya? Tena wengine wanajifanya wana hofu ya Mungu kabisa na wanaijua dini lakini ndiyo wa kwanza wanaendekeza ngono, badala ya kuangalia vigezo vingine vya mke sahihi.

Sasa sijajua huu msimamo wangu utanikosesha mume au la, maana mie msimamo wangu ndiyo huo. Ukinifuata hakuna sex mpaka nijihakikishie na tumeelewana hata kwa miezi 6. Yakikushinda basi unaweza kwenda, na wanaondoka kimya kimya.

Je, wakuu ninachofanya nakosea; kukataa kutoa penzi mpaka kwa wakati maalum? Au ndiyo mtu ukubali kutoa ale then asepe, aje mwingine ale asepe?

Sex ni muhimu, mwanamme atakuoa vipi kama hajakuonja? Inabidi apime ili ajuwe kama anajiingiza kwenye janga ama....kuna wengine wanapenda wanawake wenye maji maji na wengine wanapenda wanawake waliao wakati wa kusex, yaani kila mtu ana mapenzi yake. Binafsi nina rafiki yangu wakati wa kusex na mwanamke kama hapigwi vidole na huyo mwanamke anamwacha. Kwa hiyo usihofu kuombwa sex, hao jamaa wanataka kukupima tu kabla ya kuingia kichwa kichwa.
 
Safi Sana!

Usizini kabla ya ndoa!

Zinaa na najisi

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama unataka mume ishi kama mke kuanzia mavazi, tembea yako, maongezi yako, unyenyekevu usikivu na heshima kwa wanaume, hapo hata usipotoa sex anaweza akakuacha kwa sababu hajaamua kuoa lakini ukikutana na muoaji nafasi ya kukuacha ni finyu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wala siwezi kufa na presha mkuu , na sibdilishi msimamo wangu. Haya ni mawazo tu ya wanajf kila mtu ana serikali yake kichwani na anajitunza vile anavyoona ktk maisha yake. So sioni ajabu ata awe mwanamke mwenzangu anajibu mbovu sbb najua hiyo ndy tabia yake na mimi nna tabia yangu. Tumetofautiana.
Kwa comment yako hii Nasubutu kusema I like you, Mungu akuimarishe Kwa maamizi sahihi, kaza wengi humu wametoa ushauri feck sana, Mungu anakuona namna gani unavyomkubali kaza Mungu atakuletea Mwanaume Bora bila kusex hata miaka zaidi ya 2 au nakuendelea wap sio kwamba hawapo, japo siwezi jisifu kwako me ni mfano wa wanaume ambao hatufagilii sex, sio kwamba sina hisia ninazo lakini nimejitunza Kwa sababu ya Mungu na Mke Wangu ajae. Kuna madhara makubwa ya kufanya sex kabila ya ndoa. Nilishajipa msimamo nikikosea basi nimezidiwa sana ni naweza lala na Mwanamke mmoja wa Pili basi ni mke wangu.

Nb wote mliotoa hizi comment nawashukuru sana mnampa huyu Dada Moyo na ukweli ili zaidi kusimama asanteni sana
Puyo@ hongera nakuunga mkono walioshauri ngono kabla ya Ndoa wapuuze hao ni wazinifu hakuna lolote,wasitake kulinganisha kuwa wanaume wote hupenda sex kabla ya Ndoa, afu ni wengi wamekushauri pumba.tupo wanaume Lakini tunaompenda Mungu.
 
Asante mkuu kwa kuzidi nitia moyo. Nimependa ulivyojibu na upo mcha Mungu pia. Mungu na wewe akusaidie kwa msimamo wako huo uje kupata mke mwema.
 
Sex ni muhimu, mwanamme atakuoa vipi kama hajakuonja? Inabidi apime ili ajuwe kama anajiingiza kwenye janga ama....kuna wengine wanapenda wanawake wenye maji maji na wengine wanapenda wanawake waliao wakati wa kusex, yaani kila mtu ana mapenzi yake. Binafsi nina rafiki yangu wakati wa kusex na mwanamke kama hapigwi vidole na huyo mwanamke anamwacha. Kwa hiyo usihofu kuombwa sex, hao jamaa wanataka kukupima tu kabla ya kuingia kichwa kichwa.
Duh! Basi huyo mwanaume nk hatari mkuu
 
Back
Top Bottom