Kuna ukweli kuhusu Mr. Right?

Heshima mbele, kwema bandungu

Hili onesho la wanaume na wanawake kutafuta wapenzi/wenza kwenye show lina uhalisia au ukweli? ama ni maigizo ili kupata kipindi cha kuuza kwenye TVs?
TV gani wanaonysha
 
Hata kama ni kweli nina uhakika mahusiano yanayoanzishwa baada ya pale ni sawa na bando za voda za internet.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…