Siri yangu 🤭 😆 😆Hahah enhe kungwi nipe story ilikuaje alikupa chipsi ama
Ukaniroge, akuuu siwezi kukutumiaHahah Nesiii hebu nitumie picha yako sasa PM
TV gani wanaonyshaHeshima mbele, kwema bandungu
Hili onesho la wanaume na wanawake kutafuta wapenzi/wenza kwenye show lina uhalisia au ukweli? ama ni maigizo ili kupata kipindi cha kuuza kwenye TVs?