Kuna ukweli kiasi gani Tanzania hakuna uhuru na haki

Jibu lako kwa uchache .
IMG_20200926_235135.jpg
 
TBC television ya taifa muda wote kumpigia kampeni jpm, na Hussein mwinyi.wapinzani hawarushwi kamwe.hii si haki
Mliifukuza hazalani?
Ombeni msmaha hazalani
Mtaanza kurushwa tu, watu mnaotaka uhuru ma haki wakati mnafukuza watu kwa kazi yao,
Sasa hapo uhuru ma haki ya hao watu iko wapi?
 
Back
Top Bottom