kuna ukweli katika nyota? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

kuna ukweli katika nyota?

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by charminglady, Jul 20, 2012.

 1. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #1
  Jul 20, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,856
  Likes Received: 1,131
  Trophy Points: 280
  hali zenu wanajamvi, nliwah kusikia kwamba watu wenye nyota moja hawawezi kuwa marafiki ama hawawez kuwa na mahusiano ya kudumu. mf. wa nyota moja ni wale watu waliozaliwa mwez m1 kama walozaliwa mwez wa saba nyota yao ni simba (leo) huwa hawadumu ktk urafiki/mahusiano? mwenye uelewa ktk hili tafadhali atujuze. . .
   
 2. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #2
  Jul 20, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 160
  sijui haya ya mapacha kuendana na nge n.k
  but kuna kitu katika nyota japo si mtaalamu.

  Kumbuka mamajusi waliona nyota yake toka mashariki.
   
 3. Kiranja Mkuu

  Kiranja Mkuu JF-Expert Member

  #3
  Jul 20, 2012
  Joined: Feb 18, 2010
  Messages: 2,100
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Nyota my 'S'.
  Utapeli mtupu na ni ushaitwani mtupu
   
 4. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #4
  Jul 20, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,700
  Likes Received: 12,750
  Trophy Points: 280
  Hakuna ktu chochote hapo ni imani tu

  charminglady yamekukuta nini?
   
 5. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #5
  Jul 20, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,856
  Likes Received: 1,131
  Trophy Points: 280
  hapana, ni story tu nliwah kuzisikia. so nkaona nije hapa jukwaan kutafuta ukweli.
   
 6. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #6
  Jul 20, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,700
  Likes Received: 12,750
  Trophy Points: 280
  sidhani kama ni kweli maana me mwenyewe nimezaliwa mwezi huohuo na mahusiano yangu yana dumu sana.
  Sasa hapo inapokuja swala la nyota siamini kabisa.
   
 7. beibe nasty

  beibe nasty JF-Expert Member

  #7
  Jul 20, 2012
  Joined: Apr 11, 2012
  Messages: 1,648
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  saasa shost unambie uzur nin kimekupata usiwe nawe ukaanza ufrimason hapa
   
 8. W

  Wajad JF-Expert Member

  #8
  Jul 21, 2012
  Joined: Jul 20, 2012
  Messages: 1,123
  Likes Received: 293
  Trophy Points: 180
  Wafuasi wa hayati sheikh
   
 9. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #9
  Jul 22, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,856
  Likes Received: 1,131
  Trophy Points: 280
  cjapatwa na kitu chochote isipokuwa nlikutana nayo kijweni nkaona nije kusaka mapwent hata kwa gr8 thinkers!
   
 10. leh

  leh JF-Expert Member

  #10
  Jul 22, 2012
  Joined: May 30, 2012
  Messages: 846
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  haha :biggrin:
  una nyingine Kiranja Mkuu, unajua sometyms unasoma kitu unatamani kucurse lakini coz tupo na watu wazima unavunga. au unapata an innovative way like yours :biggrin:
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...