Kuna ukweli katika hili

Mapenzi ya siku hizi uwe na hela tu hayo mengine Mie naitaga imagination tu! Ukiwa na pesa kila kitu hua kinang'aa

mkuu tatizo sio hela, unaweza ukawa na hela lakini ukapata mtu ukajikuta unaanza kupotea kidogo kidogo mpaka mwisho wa siku unabaki hata mia hauna,baadae ukipata ambaye nyota zinu zinaenda utaona unaanza kuuza mihogo mara genge,duka,gari,nyumba, mwisho unalufi kwa mwanzo na kuwa pedesheee tena...
 
kuna watu wapo wengine wanaoa au kuolewa na mtu kwaajili ya kufata nyota yako ili mambo yake yaende sawa....
 
Sasa we owa na pesa zako alafu kama ni kimeo utaona mambo itavyokuwa mara magari yamepata ajali huko abiria 20 wamekufa kabla hujamaliza iyo kesi nyumba ya mkopo inauzwa kabla hujamaliza kazini wamekutilia mashaka upo kwenye ukaguzi mahesabu hayaendi sawa weee cheza mbali na nyota bwana.
Mapenzi ya siku hizi uwe na hela tu hayo mengine Mie naitaga imagination tu! Ukiwa na pesa kila kitu hua kinang'aa
 
tunaweza tu kubisha kwasababu tu tuna asili na tabia ya kubisha lakini haya mambo yapo na yamewatokea wengi na pengine hata wanajamvi
 
mmh kama ni kweli ngoja niendelee kung'ang'ania hapa nilipo maana....
 
kuna wav wana nuksi akikufungulia mlango asubuhi kabla ya mtu yeyote kuonana nae au ukikutana na mtu huyo mapema asubhi mambo yako yote yanakwenda kombo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…