Beira Boy JF-Expert Member Joined Aug 7, 2016 Posts 25,080 Reaction score 45,281 Jun 10, 2017 #2 Du kuna kaukweli hapo wanawake si wa kisport sport mkuu
Joseverest JF-Expert Member Joined Sep 25, 2013 Posts 53,332 Reaction score 72,655 Jun 10, 2017 #3 Ngoja wenyewe waje
Bujibuji Simba Nyamaume Platinum Member Joined Feb 4, 2009 Posts 79,037 Reaction score 168,678 Jun 10, 2017 #4 Hamna vampire wa kiume
Africa Tanzania JF-Expert Member Joined Jun 13, 2015 Posts 1,503 Reaction score 2,277 Jun 10, 2017 #5 Hiyo ni fact for hundred percent, ukiondoa sheria mwanamke husikilizwa na kuaminiwa na jamii haraka na kupata msaada Mapema Kuliko jinsia yetu hii, Mfano kwa issue kama hiyo huyo mwanamke angeweza kudanganya Pia jamaa alitaka ambake na ingekubalika!
Hiyo ni fact for hundred percent, ukiondoa sheria mwanamke husikilizwa na kuaminiwa na jamii haraka na kupata msaada Mapema Kuliko jinsia yetu hii, Mfano kwa issue kama hiyo huyo mwanamke angeweza kudanganya Pia jamaa alitaka ambake na ingekubalika!
Galapagosi JF-Expert Member Joined Apr 21, 2017 Posts 2,848 Reaction score 2,640 Jun 11, 2017 #6 Hapo ingekuwa "akikuchukia anaweza kukuua na akikupenda anaweza kukulinda"
ABiClever Junior JF-Expert Member Joined Dec 14, 2016 Posts 948 Reaction score 548 Jun 11, 2017 #7 world wide web.Me.Com
issa mweusi JF-Expert Member Joined May 31, 2015 Posts 1,477 Reaction score 1,139 Jun 11, 2017 #8 wanaroho mbayaaaaa sana hawa viumbe bt sio wote.