Ukweli ni upi
Ukweli kabisa, niliwahi kuachana na mtu siku za mwanzo mimi niliumia halafu yeye wala hajali, baada kama ya wiki moja mbili hivi mimi nikawa nishamsahau, sasa yeye akawa anakuja kila siku na simu masaa yote eti nimsamehe, nilimjibu sikumbuki kama nilishawahi kuwa na uhusiano na wewe, mimi ninachojua your my friend only, aliumia sana akawa anashinda baa eti apunguze mawazo
Yategemea ntu na ntu!
Hata mimi nilimuuliza hilo huna kazi za kufanya?Hakuwa na mambo ya muhimu kufanya???
Ukweli kabisa, niliwahi kuachana na mtu siku za mwanzo mimi niliumia halafu yeye wala hajali, baada kama ya wiki moja mbili hivi mimi nikawa nishamsahau, sasa yeye akawa anakuja kila siku na simu masaa yote eti nimsamehe, nilimjibu sikumbuki kama nilishawahi kuwa na uhusiano na wewe, mimi ninachojua your my friend only, aliumia sana akawa anashinda baa eti apunguze mawazo
Nitake radhi wewe, ni wapi nimesema niligegedwa? mi bado bikra, kwani kuwa na relationship mpaka mgegedane?yaaani unakubali kabisa kuwa uligegegdwa? loh kweli wanawake wa siku hizi mnapenda m.booo