Kuna ukweli hapa kwamba eti......

Kuna ukweli hapa kwamba eti......

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
63,727
Reaction score
128,228
Inasemekana kwamba 90% ya wale Wageni waalikwa / Marafiki ambao huwa wanahudhuria Harusi za Wanandoa huwa wanakuwa tayari wameshakuwa na Mahusiano ya Kingono na ama Bwana Harusi / Bibi Harusi na kwamba wengi wao huhudhuria tu hiyo Harusi kama tu sehemu ' kumnanga / kumsanifu ' muoaji au muolewaji.

Mliokwishaoa na wale mnaojipanga Kuoa / Kuolewa ' wikiendi ' hii poleni sana kwani mmeshaambiwa kwamba 90% ya Wageni waalikwa ( ambao ni Marafiki / Mabesti / Mashosti zenu ) tayari wameshatoka ' Kingono ' na mmoja wenu hivyo wakija katika Sherehe yako wanakuja ' kukuchora ' tu.

Haya wenye Ndoa zenu na mnaotarajia Kuoa / Kuolewa ' soon ' au wale wenzangu na Mimi Team Hapana Kuona ila tuna uzoefu na hili jambo linalodaiwa karibuni sana katika ' kutiririka ' na ' kuserereka ' juu ya hili.

We unadhani Mtu anapo ' pledge ' atachangia Harusi yake Tsh 500,000/ au Tsh 1,000,000/ peke yake unadhani atajilipaje? Ndiyo maana Mimi nimeamua kuwa siku nikija kuamua sasa ' naoa ' rasmi sitaki ' michango ' yenu ya harusi bali najichanga mwenyewe na nyie mje tu mle, mnywe na muondoke zenu.

Sitaki ujinga!!!!!!!

Nawasilisha.
 
Mmmmh! Kama waalikwa ni 200 inamaana karibu 180 washakua na mahusiano na maharusi! Haiingii akilini, haipo, uzushi na kuvunjiana heshima kwa wanaotaka kuoa na kufanya sherehe ya harusi
 
Hahahah takwimu uchwara hizi... Huu utafiti utakua ulifanyika sehemu isiyojulikana mkuu
 
hahaha kwamba umevaa ila watu 9 kati ya 10 wanajua uchi wako
 
Anaweza akawepo lakinii sio kwa idadi uliyosema, wiki mbili zilizopita mwenyewe nilishuhudia hilo kwenye kuvalishwa pete!!! Nilijikuta naumia utadhani mie ndo huyo kijana, sijui alifuata nini kwa kweli kila mtu anajua alikuwa anatoka na bidada halafu yupo anampongeza, anamkumbatia daaah!!!
 
Inasemekana kwamba 90% ya wale Wageni waalikwa / Marafiki ambao huwa wanahudhuria Harusi za Wanandoa huwa wanakuwa tayari wameshakuwa na Mahusiano ya Kingono na ama Bwana Harusi / Bibi Harusi na kwamba wengi wao huhudhuria tu hiyo Harusi kama tu sehemu ' kumnanga / kumsanifu ' muoaji au muolewaji.

Mliokwishaoa na wale mnaojipanga Kuoa / Kuolewa ' wikiendi ' hii poleni sana kwani mmeshaambiwa kwamba 90% ya Wageni waalikwa ( ambao ni Marafiki / Mabesti / Mashosti zenu ) tayari wameshatoka ' Kingono ' na mmoja wenu hivyo wakija katika Sherehe yako wanakuja ' kukuchora ' tu.

Haya wenye Ndoa zenu na mnaotarajia Kuoa / Kuolewa ' soon ' au wale wenzangu na Mimi Team Hapana Kuona ila tuna uzoefu na hili jambo linalodaiwa karibuni sana katika ' kutiririka ' na ' kuserereka ' juu ya hili.

We unadhani Mtu anapo ' pledge ' atachangia Harusi yake Tsh 500,000/ au Tsh 1,000,000/ peke yake unadhani atajilipaje? Ndiyo maana Mimi nimeamua kuwa siku nikija kuamua sasa ' naoa ' rasmi sitaki ' michango ' yenu ya harusi bali najichanga mwenyewe na nyie mje tu mle, mnywe na muondoke zenu.

Sitaki ujinga!!!!!!!

Nawasilisha.
Wewe jamaa wewe?... ulileta maono hali si shwari na kuna jambo baya litatokea, mbona mpaka leo kimya?
 
bora uchangiwe kuliko uchapiwe for free na zawadi ya mtoto juu
 
Back
Top Bottom