Kuna ukimya na utulivu

Meditation ni tafakuri maizi, kumbuka hata Kristo alifanya meditation mara nyingi tuu.. Ndio maana nikasema inategemea unataka kumeditate kwenye nini na kwa nani
 
Meditation ni tafakuri maizi, kumbuka hata Kristo alifanya meditation mara nyingi tuu.. Ndio maana nikasema inategemea unataka kumeditate kwenye nini na kwa nani
Ingekuwa hivyo isingepewa jina hilo. Kuna istilahi maalumu kwa ajili ya kitendo kufanya tafakuri, wapo walio iita Irfani, na wengine tafkira na mfano wa hayo. Ndiyo maana nikakuuliza juu ya msingi mama wa Meditation lakini lakimi hujaniambia, ukiona inafungamana na mengine ujue siyo tena.
 
Meditation kwa tafsiri rahisi kabisa ni tafakuri maizi...!!! Mimi nimeachana na dini za miungu , nimerudi kwenye dini na imani yangu ya mwanzo lakini na meditate meditation inayokubalika ndani ya imani yangu
 
Niseme tu lugha ya picha...tafsiri za kiroho kwenye picha...Sanaa ya vivuli...jicho la tatu............

Mshana jr wewe ni mtu hatari sana lakini unafaida.
 
Wewe ni nabii!
 
Usinilazimishe kuingia kwenye misiba au machungu mm nimepoteza ndugu zangu wawili kwenye Corona na watatu kwenye siasa mpaka leo siwaoni acha nijilabue na kinywaji, hakuna mahali pameandikwa hayo usemayo.
Tumepewa siku 14 za kuomboleza, kule huku kwetu ulabu huwekwa sebuleni karibu sana tusahau yaliyopita sasa Mama yupo kwenye usukani
 
Niseme tu lugha ya picha...tafsiri za kiroho kwenye picha...Sanaa ya vivuli...jicho la tatu............

Mshana jr wewe ni mtu hatari sana lakini unafaida.
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji1752][emoji1752][emoji2839][emoji1550][emoji1550]
 
Meditation kwa tafsiri rahisi kabisa ni tafakuri maizi...!!! Mimi nimeachana na dini za miungu , nimerudi kwenye dini na imani yangu ya mwanzo lakini na meditate meditation inayokubalika ndani ya imani yangu
Ndiyo maana nikakurudisha katika asili ya hiyo meditation. Kisha nikakuuliza msingi mama wa meditation ni nini...? Hili swaki hukunijibu.

Meditation yoyote unayo ijua wewe, lazima kuns sehemu imeegemea, na hilo egemeo ndiyo huitwa au wahusika wanaitakidi salama na kuomba kutokana na na egemeo hilo, ndipo ushirikina na madhambi yalipo.
 
vipi kuhusu msitakabal wa nchi yetu huko mbeleni ikiwa wwe kama mwonaji embu nena tena utujuze yaliyojificha kuhusu hatima ya mbeleni
 
Nitakurejea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…